Naogopa kuwa mama

Kama hiki ulichokieleza hapa ni ukweli basi Kwakweli ww atakaekuja kukuoa atapata tabu sana yaani atakua na bahati mbaya labda ubadilike huko mbeleni kitu ambacho kwasasa ni kigumu.
 
My dear ogopaaa
Kuogopa nikukata tamaa, uwoga ni hofu na hofu sio mpango wa Mungu ni washetani, tumbo likishaingia hofu mwili wote unakataa kuamini unaweza, akishindwa mmoja sio kwamba kila mmoja atashindwa na sababu ni nyingi kupelekea watu kukata tamaa au kushindwa.
 
Ujue nimewaza nikasema over my black dead body!
Mimi mtoto akishaanza kukaa tu anaanza kujifunza kujitegemea.
Hata chakula simsagii anymore, just by the age of 6months anaanza safari yake ya self reliance as per.
Kila stage ya makuzi ina aina yake ya malezi kwa mtoto.
 
Ulivyosimulia kama Mama yangu, tofauti Mazingira yetu ni shamba/kijijini.

Mama zetu walifundishwa kufanya kazi haswa kama mama wa familia.


Hata ufanyaje huwezi kuwa kama mama yako. Huna haja ya kuogopa.
Wamama wa aina hiyo ndio wanaishia.

Sasa mambo yamebadilika.
Kazi nyingi ambazo zilifanywa na Mama wa familia zinafanywa na wadada wa kazi.
 
Hao ndio wale wamama ambao kamwe hutasikia ana maumivu ya mgongo au miguu sijui inamuuma atazeeka na nguvU zake. Watoto wake watajua umuhimu wake siku wakibaki wenyewe. Na kila mmoja wao atasema hakika YULE ALIKUWA MTU NA NUSU
I say usijidanganye, wamama wanaumwa sana wakiwa wazee, hasa wakishafikia kwenye mid fifties maumivu huwa hayaishi.
 
Mb Mbna Kama mama angu huyo kbsa mama hat ng'ombe apige tekea ukuta saa nane za usku lzma aamke bas ahata ukinyata kwenda kukojoaa utasikia anauliziaa wee Nani , Basi hat ukitaka kisafiri saa kumi na moja yey atamka kabla yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…