Naogopa kuwa mama

Hao ndio wanawake sasa, sio nyie makolokolo,takataka kabisa vibint vya siku hiz.
Halaf kufanya kaz wao wana enjoy hawana kwere, ila mnajipendekeza kuwaonea huruma kwa jinsi mlivyojaa uvivu hasidi wakubwa nyie
 
Duuh 🥺🥺, mimi sio mvivu mkuu unanielewa vibaya
 
Hao ndio wanawake sasa, sio nyie makolokolo,takataka kabisa vibint vya siku hiz.
Halaf kufanya kaz wao wana enjoy hawana kwere, ila mnajipendekeza kuwaonea huruma kwa jinsi mlivyojaa uvivu hasidi wakubwa nyie
Ee Mungu wangu🥺.. Sisi sio wavivu mkuu
 
Nimenukuu

"""Hajawahi kuishi na msaidizi wa kazi maisha yake yote, lakini hakuna aliyewahi kufua, kudeki, kupika, kuosha vyombo wala kufagia. Sio kwamba hatutaki kumsaidia Hapana, ni kwamba hatujawahi kuona uwanja ukiwa mchafu, vyombo vichafu na mda wowote ukirudi nyumbani unakuta chakula tayari na usafi wote ushafanywa na nguo zote ziko kambani zinakauka"""

Mama angu Ni MTU wa kipekee Sana vyotee ulivyo elezea umemuelezea yeye MTUPU
 
She is a good woman ever,.
But naogopa sidhani kama nitaweza kuwa kama yeye, for real 🥺🥺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…