Naogopa kuwa mama

Sidhani kama nitaweza mkuu, labda nisiwe nakazi nyingine. Yaani niwe tu mama wa nyumbani
Hakuna mfupa uliomshinda fisi, hakuna pembe za ndovu zilizomshinda tembo, hakuna mkia wa ngo'mbe uliomshinda ngo'mbe kwa tafsiri hiyo hutashindwa kulea watoto wako mwenyewe kila jambo ukilianza unashangaa kumbe ni rahisi hivi, ila hapo ni kwakuwa umeweka nadharia nyingi sana kwa kuangalia mama yako anavyofanya ila ukianza kufanya wewe majukumu ya malezi utashangaa mwenyewe ni rahisi hivyo mwili utakua unafanya tu hakuna kitakachokushinda.

Chukulia umekamata ujauzito Sasa hivi pah Mungu akakubariki na mapacha wanne unaanza nao wakiwa wachanga kabisa unahisi hutaweza kuwatunza?utaweza na utajishanga
 
Nimescreenshoot hii comment,, huenda nina hofu tu 🤔🤔
 
Anza kwanza mambo mengine yatajiseti yenyewe tu , mimi siku ya kwanza kutoka home nilienda kulewa mpaka sa nane za usiku nikiwa na miaka 18 tu , nikaona kurudi home nita nyongwa nikatokomea ndio ukawa mwanzo wangu wa kujitegemea mpaka sasa.
Ulikua na ujasiri, hata hivyo ni kwasababu mtoto wakiume ndiomaana ilikua rahisi.. Sisi kwetu wakike kutoka hadi itokee umeolewa au unafanya kazi mkoa mwingine tofauti na nyumbani.,.. So nadhani bado nitaendelea kuwepo
 
Ulikua na ujasiri, hata hivyo ni kwasababu mtoto wakiume ndiomaana ilikua rahisi.. Sisi kwetu wakike kutoka hadi itokee umeolewa au unafanya kazi mkoa mwingine tofauti na nyumbani.,.. So nadhani bado nitaendelea kuwepo
Ila kweli , bora ubaki tu mpka ukuwe vizuri , kwa sababu hata wengi wanaotoka kwenda kupanga wanaishi kwa nguvu ya ma sponsor tu .
 
Ukikua utaacha
 
Nimescreenshoot hii comment,, huenda nina hofu tu [emoji848][emoji848]
[emoji12][emoji12]Nasubiria ushuhuda tu mengine yabaki historia, hakuna jambo gumu la kumshinda binadamu limitations tunajiwekewa wenyewe kwa kuamini au kwa kujinenea siwezi

Kuna andiko takatifu linasema hivi "uzima na umauti umo ndani midomo yetu" ukiongea uzima utaishi na ukiongea mauti hutaishi kwahiyo weka umakini katika kila neno litokalo kinywani mwako, badili mindset utaishi katika kufikia hatima yako na utashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…