Naogopa kuwa mama

Af kuna mama mimi.
Wanangu wenyewe wanajua mama yao hafanyagi kazi za ndani zaidi ya kupika weekend na kutunza maua na miti yake.
Nilisema nimeshafanya my share ya kazi za ndani, muda wangu uliobaki nitaajiri au watafanya watoto.
Huyo mama yenu kuna kitu anakimbia humo chumbani kwa mumewe.
 
Sisi sio wavivu mkuu, kwasababu hata akisafiri hua tunafanya kila kitu wenyewe na nyumba inakua vizuri sana.. Tatizo ni kwamba hataki kusaidiwa na ameshamark kwamba kila kitu anatakiwa afanye mwenyewe..
Hicho ndo kinaniwazisha nitakapokuja kuwa mama itabidi niwe nafanya kila kitu mwenyewe
 
Mmh🤔🤔
 
AF watu mnafanya kazi bado mnakaa kwa wazazi?
Hamuoni kuwa kuwepo kwenu hapo nyumbani ni namna nyingine ya kumchosha huyo mama?
Mi wanangu wakitoka chuo, wakajitegemee huko.
Mmoja kashaanza, we mi nataka kuwa spoiled now mambo ya kulea mijitu mizima in the name of being a Mother sitaki!
 
 
Kibaya ni kwamba hataki tuondoke nyumbani, labda itokee unafanya kazi mkoa mwingine.. Dada yangu katoka bado mimi
 
Huenda waakati ukifika nitaona kawaida
weee sio kawaida kukaa unatumikia watoto na watu wa familia muda wote.
ONE NEEDS A ME TIME!
changeni hela mpelekeni mama yenu Vacation!
Akirudi akute mmenunua home appliances na mmemwekea a proffesional maid.
Muachieni vijikaz vichace say like kumtake care mumewe na vijimaua.
 
Ushauri mzuri sana huu, nimescreenshoot tutaufanyia kazi. Barikiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…