Naogopa sana kuna Mtu akijifanya tu anakupenda au anakusifia basi jua muda wowote tu anaenda Kukutumbua

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nakumbuka mno Waziri Mmoja aliposifiwa kuwa anajua Kuzungumza na Kupambania Jambo na Kesho akatumbuliwa. Na mpaka sasa haamini kwani alikuwa ameshaota Mapembe tayari huku akijiamini kwakuwa ana Waganga wazuri wa Kwao na alikuwa akimsaidia katika Umafia fulani ila akaliwa nae Kichwa mazima.
 
Ukiona mama anasema Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake ujue mtego,,,kifinyo kinafuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…