Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe!
Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma.
Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana!
Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025' ni chepesi kama pamba na ambacho endapo Ndugai atapanga hoja zake vizuri atakisambaratisha!
Ndugai asichukuliwe poa, akiamua kufunguka huenda Nchi ikatikisika!
Muda utaongea.