Naogopa sana Ndugai akizungumza ukweli

Naogopa sana Ndugai akizungumza ukweli

Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe!

Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma.

Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana!

Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025' ni chepesi kama pamba na ambacho endapo Ndugai atapanga hoja zake vizuri atakisambaratisha!

Ndugai asichukuliwe poa, akiamua kufunguka huenda Nchi ikatikisika!

Muda utaongea.
Atafungukia wapi wakati bungee lake lilitunga sheria mbovu ya kuvibana vyombo vya habari?
 
Mwenye credibility wewe umeongea nini zaidi ya ushabiki?

Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula
Usilete personal attacks ndugu tunajadili facts hapa.

Wahenga walishasema "Usimwamini mnafiki hata akisema ukweli"

Na hicho ndicho kinachomsumbua Job, amefanya madudu mengi sana katika Bunge kiasi ambacho hata akileta hoja ya maana kumwamini ni ngumu.
 
Those people from Zanzibar were moving too quickly and they had to be stopped somehow kabla hawajaharibu beyond repair
... unadhani hilo limefanikiwa?...hofu yenu watanganyika ni nini hasa?
 
Kwani si wanamvua tu uanachama kama akina Membe? Na hata akihamia upinzani Policcm watahakikisha hashindi. Bado hawezi kushindana na Serikali. Na akiamua aropoke, watatengua sheria ya kumuondolea spika Kinga ya kuto shtakiwa, hapo atakuwa na nafuu Sabaya kuliko yeye. Ninavyomfahamu Ndugai ni mtu wa ku panic haraka. Ana hasira za karibu. Anaweza ropoka. Lakini namshauri ni afadhali akae kimya tu kulinda heshima yake
 
Kama asingeomba msamaha na kuisimamia ile kauli yake, then, Ndugai yule, ndiye ambaye angeweza kuamua liwalo na liwe, lakini yule Ndugai aliyeufyata na kuwa mdogo kama piriton, kwa kujinyenyekeza kwa the executive, hawezi tena kuamua lolote liwe, naamini by now barua ya kuachia ngazi iko tayari.

Baada ya kuomba ule msamaha batilifu uliokataliwa, hana turufu yoyote, he has to go!.

It's true ana mengi, ila hawezi kutoa siri zozote!, ingekuwa ni kutoa siri, angetoa Lowassa, hivyo usitegemee Ndugai atatoa siri yoyote.

Japo hapa kwenye hili la 2025, Ndugai amesingiziwa tuu, lakini hawezi kujibishana na boss wake, the boss is always right, hata kama boss kashika karatasi nyeupe, akamuuliza Ndugai,
Boss: "Hii karatasi ni rangi gani?"
JYN: " Nyeupe"
Boss: "Hii nyeupe gani?, au una color blindness?, hii si nyeusi!"
JYN: "Sorry boss, mwanzo niliona vibaya, kumbe ni nyeusi".

Ndugai kwa sasa si lolote, sii chochote, hana lolote jingine isipokuwa kufungasha. Amepata ajali mbaya kisiasa, amepigwa dafrao, hawezi kuinuka tena!.
P
Kuna baadhi ya wadau humu wanahusisha hili sakata na mambo ya muungano.

Kuna wanaoona Rais mzanzibar anayumbishwa kwa makusudi na kuna wanaoona kuna upande wa muungano una neemeka sana na hii mikopo huku upande mwingine ukibebeshwa zigo la deni tena wamefikia hatua wanadai zile kero za muungano zimemalizwa ndani ya muda mchache sana (ila kwa Siri).

Naomba msimamo wako kwenye hili kama hutojali.
 
Usilete personal attacks ndugu tunajadili facts hapa.

Wahenga walishasema "Usimwamini mnafiki hata akisema ukweli"

Na hicho ndicho kinachomsumbua Job, amefanya madudu mengi sana katika Bunge kiasi ambacho hata akileta hoja ya maana kumwamini ni ngumu.

Personal attacks?

Kwenye vita hii ya Ndugai kuna nafasi ya kila mhimili kutoka kivyake 100% Yaani uhuru kamili wa mihimili. Jambo la kheri mno kwa wananchi wa nchi hii.

Jambo hilo huwezi kuliona kuwa ni "a very serious fact?"

Kwenye jambo muhimu hili la taifa ni sahihi kuwa shabiki au kuwa mpenzi mtazamaji tu?
 
Kwani si wanamvua tu uanachama kama akina Membe? Na hata akihamia upinzani Policcm watahakikisha hashindi. Bado hawezi kushindana na Serikali. Na akiamua aropoke, watatengua sheria ya kumuondolea spika Kinga ya kuto shtakiwa, hapo atakuwa na nafuu Sabaya kuliko yeye. Ninavyomfahamu Ndugai ni mtu wa ku panic haraka. Ana hasira za karibu. Anaweza ropoka. Lakini namshauri ni afadhali akae kimya tu kulinda heshima yake

Wameondolewa uanachama kina Mdee na bado wangalimo.

Jobo siyo Sofia.

Jobo si anaweza kuendelea na ile kura yetu pendwa vizuri tu na akashughulika na kina pascal kwenye ile tume baadaye na kwa raha zake.
 
Personal attacks?

Kwenye vita hii ya Ndugai kuna nafasi ya kila mhimili kutoka kivyake 100% Yaani uhuru kamili wa mihimili. Jambo la kheri mno kwa wananchi wa nchi hii.

Jambo hilo huwezi kuliona kuwa ni "a very serious fact?"

Kwenye jambo muhimu hili la taifa ni sahihi kuwa shabiki au kuwa mpenzi mtazamaji tu?
All in all Job has his own agenda, Yes kaongea ukweli kuhusu kukopa na tozo at the same time. Ila angekemea tozo kuendelea kuwepo at the same time tunaendelea kukopa ningemuelewa zaidi. Ila kukemea mikopo kana kwamba it's a new thing....
 
Job has his own agenda? Hayo ni mawazo yako au vipi?

Wengine tunaona hivi:

Sakata la Ndugai likifika mwisho fairly tutegemee:

1. Utawala na mihimili yenye uhuru kamili
2. Watawala kuwapo madarakani kwa ridhaa ya wananchi
3. Watawala kuwajibika kwa wananchi
4. Kuzaliwa kwa katiba mpya ya wananchi.
5. Kuzaliwa kwa Tanzania mpya.

Vita vitakwisha fairly si kwa hisani bali kwa kupiganwa haswa. Vita hivi anapigana Ndugai peke yake?

Wako wapi washirika?

Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula

Au tumechagua kuwa mashabiki (wapenzi watazamaji) tukiwa mkao wa kula?
 
Na ndio maana tukaitwa binadamu kila mtu ni tofauti na ana mtazamo wake. Wewe umetumia vigezo vyako kujadili hoja yako na mimi nimetumia history yake kujadili hoja yangu.

Maisha yaendelee
 
Ila hukujibu. Maisha yanapoendelea, ikikupendeza tafadhali:

"Kwenye sakata hili uko upande gani mjomba?"
 
Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe!

Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma.

Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana!

Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025' ni chepesi kama pamba na ambacho endapo Ndugai atapanga hoja zake vizuri atakisambaratisha!

Ndugai asichukuliwe poa, akiamua kufunguka huenda Nchi ikatikisika!

Muda utaongea.
Afunguke tumsikie. Ila atuandae tumsikilize wenyewe, Ili wadukuzi wasimdukue Tena.
 
Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe!

Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma.

Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana!

Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025' ni chepesi kama pamba na ambacho endapo Ndugai atapanga hoja zake vizuri atakisambaratisha!

Ndugai asichukuliwe poa, akiamua kufunguka huenda Nchi ikatikisika!

Muda utaongea.
Ndugai ni mkuu wa mhimili lkn tegemezi sana. Alipo sasa anaomba usiku na mchana wasiendelee kumsakama ndani ya chama. Hana awezalo mbele ya Rais.
 
Ila hukujibu. Maisha yanapoendelea, ikikupendeza tafadhali:

"Kwenye sakata hili uko upande gani mjomba?"
Katika sakata hili siungani na hoja ya Job kabisa ya madai ya kua nchi itapigwa mnada sababu ya 1.3 T. Hali ya kua alikaa kimya 26 T zilipochukuliwa kama mikopo ndani ya miaka mitano. Na ni huyu huyu alizima mjadala bungeni wa upotevu wa 1.5T na hata watu walipojadili nje ya bunge aliwaita bungeni kutoa maelezo.

That is why earlier nikasema kinachomsumbua ni personal issues tu.
 
Job has his own agenda? Hayo ni mawazo yako au vipi?

Wengine tunaona hivi:

Sakata la Ndugai likifika mwisho fairly tutegemee:

1. Utawala na mihimili yenye uhuru kamili
2. Watawala kuwapo madarakani kwa ridhaa ya wananchi
3. Watawala kuwajibika kwa wananchi
4. Kuzaliwa kwa katiba mpya ya wananchi.
5. Kuzaliwa kwa Tanzania mpya.

Vita vitakwisha fairly si kwa hisani bali kwa kupiganwa haswa. Vita hivi anapigana Ndugai peke yake?

Wako wapi washirika?

Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula

Au tumechagua kuwa mashabiki (wapenzi watazamaji) tukiwa mkao wa kula?
Tayari amejiuzulu. Rais siyo mtu, ni taasisi kubwa na yenye kila kitu.
IMG-20220106-WA0152.jpg
 
Ndugai hata kama ana mengi hana mvuto ktk lolote la kutikisa nchi jamani, alikuwa akifurukuta kwa sababu ya kile kiti tu!
 
Back
Top Bottom