Maneno yako Pascal Mayalla huwa yanabeba ukweli unaoniumiza na kunikatisha tamaa kabisa.Japo hapa kwenye hili la 2025, Ndugai amesingiziwa tuu, lakini hawezi kujibishana na boss wake, the boss is always right, hata kama boss kashika karatasi nyeupe, akamuuliza Ndugai,
Boss: "Hii karatasi ni rangi gani?"
JYN: " Nyeupe"
Boss: "Hii nyeupe gani?, au una color blindness?, hii si nyeusi!"
JYN: "Sorry boss, mwanzo niliona vibaya, kumbe ni nyeusi".
Kwahiyo anachokisema Rais hata kama ni cha hovyo lazima kitashangiliwa tu??