Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Afunguke kuhusu nini sasa? Au kuhusu wabunge 19 wa chadema?Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe!
Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma.
Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana!
Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025' ni chepesi kama pamba na ambacho endapo Ndugai atapanga hoja zake vizuri atakisambaratisha!
Ndugai asichukuliwe poa,akiamua kufunguka huenda Nchi ikatikisika!
Muda utaongea.
Hujui ulisemaloTulia wewe Mgogo ushakura za uso
Jikite kwenye hoja🤓🤓🤓 mashabiki mnateseka sukuma gang shida Nini? Kitumbo mbelembele tochi ndo shida ya maniga, wote watamkimbia, hata wewe njaa ikikuuma huta andika ujinga huu.
Si kweli!Watu wa ccm huyu mama kawazidi akili. Ndungai anamachafu mengi tu
YawayoAfunguke kuhusu nini sasa? Au kuhusu wabunge 19 wa chadema?
😁 Nchi itatikisika kama ilivyotikisika wakati ule wa BM?Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe!
Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma.
Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana!
Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025' ni chepesi kama pamba na ambacho endapo Ndugai atapanga hoja zake vizuri atakisambaratisha!
Ndugai asichukuliwe poa,akiamua kufunguka huenda Nchi ikatikisika!
Muda utaongea.
Mnajipa moyo buree... ling'ombe lilishajipeleka mdomoni mwa chatu.... kwisha habari yake....Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe!
Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma.
Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana!
Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025' ni chepesi kama pamba na ambacho endapo Ndugai atapanga hoja zake vizuri atakisambaratisha!
Ndugai asichukuliwe poa,akiamua kufunguka huenda Nchi ikatikisika!
Muda utaongea.
Tingisa kidole tingisa kidole kama upo by Daniel Arap MoiYawayo
Hivi ndiyo maana ile press imeyeyuka???No wonder ile press ya Shaka imekuwa postponed.
Imeyeyushwa fasta. Mama ataka kutuharibia NchiHvi ndiyo maana ile press imeyeyuka???
Asante kwa kuunganisha dots
Tupo hapaSi kweli!
Nakupa wiki moja iwe humu mitandaoni ama kwingineko ngoma ya kusemwa itahamia kwa Samia
Tulia mgogoNi kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe!
Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma.
Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana!
Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025' ni chepesi kama pamba na ambacho endapo Ndugai atapanga hoja zake vizuri atakisambaratisha!
Ndugai asichukuliwe poa,akiamua kufunguka huenda Nchi ikatikisika!
Muda utaongea.
Kama asingeomba msamaha na kuisimamia ile kauli yake, then, Ndugai yule, ndiye ambaye angeweza kuamua liwalo na liwe, lakini yule Ndugai aliyeufyata na kuwa mdogo kama piriton, kwa kujinyenyekeza kwa the executive, hawezi tena kuamua lolote liwe, naamini by now barua ya kuachia ngazi iko tayari.Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe!.
Baada ya kuomba ule msamaha batilifu uliokataliwa, hana turufu yoyote, he has to go!.Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma.
It's true ana mengi, ila hawezi kutoa siri zozote!, ingekuwa ni kutoa siri, angetoa Lowassa, hivyo usitegemee Ndugai atatoa siri yoyote.Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana!
Japo hapa kwenye hili la 2025, Ndugai amesingiziwa tuu, lakini hawezi kujibishana na boss wake, the boss is always right, hata kama boss kashika karatasi nyeupe, akamuuliza Ndugai,Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025' ni chepesi kama pamba na ambacho endapo Ndugai atapanga hoja zake vizuri atakisambaratisha!.
Ndugai kwa sasa si lolote, sii chochote, hana lolote jingine isipokuwa kufungasha. Amepata ajali mbaya kisiasa, amepigwa dafrao, hawezi kuinuka tena!.Ndugai asichukuliwe poa,akiamua kufunguka huenda Nchi ikatikisika!
Muda utaongea.