Naogopa sana Ndugai akizungumza ukweli

Maneno yako Pascal Mayalla huwa yanabeba ukweli unaoniumiza na kunikatisha tamaa kabisa.

Kwahiyo anachokisema Rais hata kama ni cha hovyo lazima kitashangiliwa tu??
 

Ndugai bado ni spika na ana washirika ambao wangalipo.

Hapa ni kupambana tu hamna kurudi nyuma.

Ndugai msamaha, alijaribu kufunika kombe:

Msamaha kubutuliwa, Ndugai aungwe mkono

Spika Ndugai, pamoja na Msamaha kukataliwa atembee Kifua mbele

Aluta Continua!
 
Huyu huyu aliesema hivi nilikuwa hapa hapa wakati tunapitisha hili?

Kiongozi anaesahau alichopitisha eti leo eti azungumze ukweli
 
Inaonekana Shaka ndiye acting UVCCM chairman.
 
Kweli sababu nae alikuwa mmoja wao ,ni mtumbwi huo labda asiseme iwe mbwai tu[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wale wazee wa cc wemeingia uvunguni.
Sijui wameamriwa kuweka silaha chini.
 
Maneno yako Pascal Mayalla huwa yanabeba ukweli unaoniumiza na kunikatisha tamaa kabisa.

Kwahiyo anachokisema rais hata kama ni cha hovyo lazima kitashangiliwa tu??
Mkuu Sexless, Rais wa JMT, hahojiwi au kuwa challenged na mamlaka yoyote!

Hawezi kukosea ndio maana hashitakiwi!. Ikulu ni mahali patakatifu, akaae patakatifu ni mtakatifu, hata karatasi nyeupe, akiita nyeusi, inakuwa nyeusi.
P
 
Vipi!? Walitaka kuigeuza Zanzibar Dubai kwa mgongo wa madeni yatakayolipwa na Tanganyika!?
 
Mkuu unamjua RAIS au unahadithiwa tu. AVUNJE KIAPO CHAKE NDIO UTAONA SERIKALI INATISHA NA HAMTOAMINI.
 
Mgogo hajawahi kuwa na uwezo huo zaidi ya waliomtuma naye hakushirikisha akili akiwakosea wata watamshughulikia mapema sana
 
Nimekosa Mimi..x2........
 
Lowassa alijua kabisaa, ila alijua mtandao wake ndani ya NEC una nguvu na atabebwa, ila ndo ivo ubabe ulitumika akakatwa.
 
"Those people from Zanzibar" who are they? By the way you can argue or come up with a point without showing any racial seg. Mikurupuko aliyokuwa anafanya Mh Magufuli mlikemea? Huu ujinga wa kuweka Uzanzibar sio wa kuunga mkono, wamekaa miaka kibao bila kutoa Rais and remaining calm. Sisi huku kelele na kuwabagua as if si wenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…