Naogopa sana Ndugai akizungumza ukweli

Nikiona andiko lako natulia kulitafakari, always unaandika vitu vya msingi, iwe unasifia au kuponda, hongera sana.
 
Afunguke kwanza jinsi alivyopata ubunge na uchaguzi mkuu 2020.
 
Wakimalizana na Ayubu, next atakuwa Mama yetu. Wacha tuendelee kuwtch hii movie
 

Unadhani uongozi ni kikao cha hadithi. Kuna vitu hawezi kuzungumza kabisa.
 
Ukweli Atausemea Wapi
Umesahau Ya Nnape Alizuiwa Kuongea Mchana Kweupe
 
Ndugai wakati wa press alikuwa chini ya ulinzi, na alienda kuomba radhi sio kwa utashi wake ujue hilo.
 
Hivi sukuma gang mna nini? Mbona wapumbavu sana.
 

Ninakubaliana na wewe ila usiishie kwa wanasiasa bungeni tu. Hali iko hivyo kote vyama vya siasa hadi kwetu.

Kumbuka hata kina Mwingira, Shoo, mzee wa Upako, Ndugai au Polepole waliojaribu kupinga mambo hadharani nani wamewahi kutoa hata matamko tu ya mshikamano?

Kwanini CCM wanatuita SACCOS?

Usiwaache hata wanaotumia fake ID.
Ukweli ni Kwamba si zaidi ya Lissu na Shangazi Fatma. Bila shaka hata Mbowe akiwa huru angetamka neno!

Ni lazima kubadilika. Ushabiki siyo siasa.

Kama hatuwezi kuunga mkono hoja tunachotaka au kutegemea basi ni nini?

Habari ndiyo hiyo.

Cc: Vessel Erythrocyte denooJ pascal
 
Ndugai ukweli atakao ongea ni kujivua nguo tu! Amefanya madudu mengi sana katika Bunge.....

Kiufupi Ndugai hana credibility ya kuutaka utakatifu kwa umma.
 
Hivi sukuma gang mna nini? Mbona wapumbavu sana.

Heri sukuma genge anayepambania nchi kuliko sambarau wewe uliyekaa mkao wa kula.

Au nasema uongo?

Bwana Naipendatz huna hata neno la faraja kwa sukuma genge ambao japo wanafurukuta?
 

Umewaza mbali sana,
 
Aende ACT
 
Haya ni maoni yangu na hakuna anayewajibika kuyakubali au kuyakataa..
Pamoja na yoote ayajuayo, Mh Ndugai hana ubavu wa kulitingisha hili Taifa.
Pamoja na kinga aliyejiwekea,Mh Ndugai mahakama inamuhusu kwa wale dada zetu 19.
Take my words,sasa hivi kama alikuwa anayo kambi,basi itakuwa wameanza kusambaratika.


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Njaa tuu yule hamna kitu
 
Bro ndugai hana mengi kulinganisha na ccm inavyoyajua yake

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…