Naogopwa sana kazini, hata bosi wangu ananiogopa

Naogopwa sana kazini, hata bosi wangu ananiogopa

Hello!

Kipindi naanza kazi kazini watu walisimama kupiga madili kwa kipindi cha mwaka mmoja hivi wakiusoma mchezo. Nilijua baadaye sana kuwa kulikuwa na madili yalikuwa yakifanyika lakini walisitisha wakihofia kuwa Mimi nimekuja kuwazoom. Kumbe Mimi nimeletwa na njaa zangu tu.

Baadaye Mzee mmoja mstaafu akaanza kufanya vidili vyake na kunifundisha kupiga vidili vidigovidogo . Wengine wote hakuna aliyethubutu kuniambia issue yoyote.

Kuna ule upigaji kwa mtindo wa posho za safari huku hujasafiri mabosi hutumia account za watumishi kupata pesa, account yangu haijawahi kupitishiwa hata sh. Mia za za issue.

Sijui ukimya ndio unawachanganya na kuhisi kuwa niko na mission nyingine niwapo kazini. Kuna makosa mengine ya jumla, unakuta wengine wanapewa warning letter lakini Mimi hata kuulizwa siulizwi.
Hata bosi ananiogopa ukimwangalia usoni.

Tabia ya umbea na kujipendekeza kwa viongozi sina.
Hii kitu mkuu shukuru Mungu upo huko jeshini. Mimi imeshanicost sana hii private. Watu wanakuundia zengwe wanakuchomoa kama hawakuelewi. Binafdi siwezi kabisa kujipendekeza. Kuna times magumu yananikuta sababu tu nimeshindwa kuwa chawa.
Anyway, I just believe in myself. Twende hivi hivi.
 
Sasa ukishaogopwa ndio inakuwaje sasa hii ni bongo..

Alafu hakina aliyesitisha dealnkwa sabubu yako sema hupewi taarifa zzte wamekuacha na uzombi wako.
Vijana wa siku hizi hopeless kabisa! Linafikri kuogopwa ni sifa!
 
Kijana unatumia muda wa mwajiri vibaya, kapige kazi
 
Back
Top Bottom