Naogopwa sana kazini, hata bosi wangu ananiogopa

Hii kitu mkuu shukuru Mungu upo huko jeshini. Mimi imeshanicost sana hii private. Watu wanakuundia zengwe wanakuchomoa kama hawakuelewi. Binafdi siwezi kabisa kujipendekeza. Kuna times magumu yananikuta sababu tu nimeshindwa kuwa chawa.
Anyway, I just believe in myself. Twende hivi hivi.
 
Sasa ukishaogopwa ndio inakuwaje sasa hii ni bongo..

Alafu hakina aliyesitisha dealnkwa sabubu yako sema hupewi taarifa zzte wamekuacha na uzombi wako.
Vijana wa siku hizi hopeless kabisa! Linafikri kuogopwa ni sifa!
 
Kijana unatumia muda wa mwajiri vibaya, kapige kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…