Hongera SanaHabari za leo wakuu?
Ebana nimepangwa mkoa wa Kigoma ajira mpya, mwajiri ni National Audit Office of Tanzania.
Naomba kupata ABC za huo mkoa wa Kigoma kwa ujumla, kuanzia hali ya hewa ya mkoa, nature ya watu wa huko, totoz kama zipo, vyakula, hali ya maisha kwa ujumla etc.
Asanteni
Kuna wakati niliwahi pata story moja kuwa huo mkoa ndo unaongoza kwa kuuza misukule.Huko ndio makao makuu ya kichawi.
Nyege zako zitulize, maisha ya show off yaache kwenu, ujuaji wa bila mpangilio uache kwenye bus utakaloenda nalo ili urudi kwenu salama.
Huko tuliwahi kwenda kufanya program fulani kiufupi tulikimbia ndani ya masaa 24
hapa jf mnaambizana uchawi haupo sasa baba nenda kauone.
Wasikutishe Hawa wavimba machoOfisi ziko mjini kigoma
Watoto wa kigoma ni watafutaji sana, akili za kutosha, acha kupotosha mkuu.Totozi huko tafuta mtumishi mwenzako aliyetoka mkoan achana na wazaliwa watakunyoosha usahau kwenu
Ujiji pazuri sanaaOfisi ziko mjini kigoma
Kama wewe ni mbishi mkaidi bas hivyo vitu viache hapo ulipo usikanyage navyo kigoma utaacha ndalaHabari za leo wakuu?
Ebana nimepangwa mkoa wa Kigoma ajira mpya, mwajiri ni National Audit Office of Tanzania.
Naomba kupata ABC za huo mkoa wa Kigoma kwa ujumla, kuanzia hali ya hewa ya mkoa, nature ya watu wa huko, totoz kama zipo, vyakula, hali ya maisha kwa ujumla etc.
Asanteni
Nasikia anga la kule ni zito sana, gari la mwamposa liliwaka moto wa kimiujiza.Habari za leo wakuu?