Naomba ABC za mkoa wa Kigoma, nimepangwa ajira mpya huko

Naomba ABC za mkoa wa Kigoma, nimepangwa ajira mpya huko

Pembezoni mwa mji mwanza nimenunua kiwanja milioni mbili ukiniambia milioni tatu laki tano ni bei ndogo nashindwa kukuelewa
Wakija wengine kusoma comments watakuelewesha kuwa unachosema ndicho nilichosema.

Bye!
 
Unawafahamu Zitto Kabwe na Dr Mpango?

Unazifahamu safari zao za kisiasa?

Sasa pale kigoma jiandae kukutana na watu wengi wenye sifa za Zitto Kabwe kuliko Dr Mpango.
 
Huko ndio makao makuu ya kichawi.

Nyege zako zitulize, maisha ya show off yaache kwenu, ujuaji wa bila mpangilio uache kwenye bus utakaloenda nalo ili urudi kwenu salama.

Huko tuliwahi kwenda kufanya program fulani kiufupi tulikimbia ndani ya masaa 24
hapa jf mnaambizana uchawi haupo sasa baba nenda kauone.
sis, mlikimbia ndani ya saa 24 😀
 
Huko ndio makao makuu ya kichawi.

Nyege zako zitulize, maisha ya show off yaache kwenu, ujuaji wa bila mpangilio uache kwenye bus utakaloenda nalo ili urudi kwenu salama.

Huko tuliwahi kwenda kufanya program fulani kiufupi tulikimbia ndani ya masaa 24
hapa jf mnaambizana uchawi haupo sasa baba nenda kauone.
😅😅😅
 
Hongera sana Mkuu, Usisahau kupata dua kabla ya kuripoti ajira zina mambo mengi
 
Back
Top Bottom