Mtu kasemaHabari za leo wakuu?
Ebana nimepangwa mkoa wa Kigoma ajira mpya, mwajiri ni National Audit Office of Tanzania.
Naomba kupata ABC za huo mkoa wa Kigoma kwa ujumla, kuanzia hali ya hewa ya mkoa, nature ya watu wa huko, totoz kama zipo, vyakula, hali ya maisha kwa ujumla etc.
Asanteni
Ahahahahahahahah.Vinginevyo Utakojoa Dagaa Ametanguliza Mkia
So hakuna mazuri kabisa huko mkuu?Mtu kasema
Uchawi upo aepuke wake na waume za watu
Nyama na samaki ni ghali kuliko dar
Joto mchan kali mpka huon usiku ni baridi mpk ganzi
Waha wabishi wachochez wa mambo wabinafs wanatk wao hawaendee wew yakudodee
Warundi na wakongo wengi kuliko watanzania awe makin asije uliwa na sumu au hat visu
Watu wakijua upo serikaln jiandae kwa michango ya kila siku na kuombwa na majiran ela ya kula na watoto
Kitu bei rahis huk ni vitungu mawese na karanga na mihogo tu
Asante😅
Swali kigoma unaouzungumzia ipi kigoma ujiji kigoma kasulu kigoma kibondo kigoma kakonko kigoma buhigwe kigoma uvinza?Habari za leo wakuu?
Ebana nimepangwa mkoa wa Kigoma ajira mpya, mwajiri ni National Audit Office of Tanzania.
Naomba kupata ABC za huo mkoa wa Kigoma kwa ujumla, kuanzia hali ya hewa ya mkoa, nature ya watu wa huko, totoz kama zipo, vyakula, hali ya maisha kwa ujumla etc.
Asanteni
Ukipajulia Kigoma hurudi kwenuHabari za leo wakuu?
Ebana nimepangwa mkoa wa Kigoma ajira mpya, mwajiri ni National Audit Office of Tanzania.
Naomba kupata ABC za huo mkoa wa Kigoma kwa ujumla, kuanzia hali ya hewa ya mkoa, nature ya watu wa huko, totoz kama zipo, vyakula, hali ya maisha kwa ujumla etc.
Asanteni
Kigoma mjini haina tofauti na tanga au mikoa mingi hapa nchini. Tofauti yake inakuja unapo sogea nje ya mji kwenye wilaya kama kasulu na kwingineko.Ofisi ziko mjini kigoma
Ndio mjini nimeishi kigoma sehemu tofautitofauti mwanga ni ndio sehemu ya kibiashara kwa maana ya ndio mjini penyewe ila ukifika kwa mara ya kwanza utawauliza wenyeji mjini ni wapi ukipelekwa mjini wao wanasema inamaanisha ni stesheni bandalini tra ipo huko NBC nmb crdb nk lakini iyo sehemu ambayo ndio mjini mwsho wake mji mkongwe wa ujiji uko ndio tatizo lilipo na afadhari ya sasaivi kidogo maana zamani wakati mimi naishi uchawi njenje gungu ndio iko stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani inaitwa masanga bus stendi kwa uchache kama kuna kitu unataka niongeze semaUjiji nadhani ndio mjini hapo
Vipi maji ya Nyakageni bado yapo?Ndio mjini nimeishi kigoma sehemu tofautitofauti mwanga ni ndio sehemu ya kibiashara kwa maana ya ndio mjini penyewe ila ukifika kwa mara ya kwanza utawauliza wenyeji mjini ni wapi ukipelekwa mjini wao wanasema inamaanisha ni stesheni bandalini tra ipo huko NBC nmb crdb nk lakini iyo sehemu ambayo ndio mjini mwsho wake mji mkongwe wa ujiji uko ndio tatizo lilipo na afadhari ya sasaivi kidogo maana zamani wakati mimi naishi uchawi njenje gungu ndio iko stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani inaitwa masanga bus stendi kwa uchache kama kuna kitu unataka niongeze sema
Kwa nilivyoyaona kipindi kile yale sio yakwenda kokote yatakuwepo tu maana kile kisima ni cha miujiza tuVipi maji ya Nyakageni bado yapo?
leo dada hebu weka simulizi kilichowakutaHuko ndio makao makuu ya kichawi.
Nyege zako zitulize, maisha ya show off yaache kwenu, ujuaji wa bila mpangilio uache kwenye bus utakaloenda nalo ili urudi kwenu salama.
Huko tuliwahi kwenda kufanya program fulani kiufupi tulikimbia ndani ya masaa 24
hapa jf mnaambizana uchawi haupo sasa baba nenda kauone.
Nani kakudanganya viwanja bei ndogo huko kiwanja kinauzwa bei ya mwanzo hiyo ndio ya chini milioni tatu na laki tano na hiyo ni pembezoni mwa mji nimetoka mwaka jana na nimeishi myaka kumi na tanoHakuna shida nenda, Kigoma hakuna mambo mengi, uchumi wa kawaida kwa mtumishi wa umma unaishi vizuri tu ukipambana unajenga haraka kabisa.
Viwanja sio bei rahisi (tofauti na mikoa mingine midogo) Sababu ni wa kongo wananunua sana.
Kwenye mapenzi, KG kila mmoja anamjua kila mmoja kwahiyo kama mtu wa totoz utashare sana.
Takwimu za HIV ziko chini sana, nadhani inaongoza kwa Tz (Sikumbuki vizuri) nasema hili sababu nimefanya mradi wa HIV huko ilikuwa our control area.
Kila la heri.
😂 Umenisoma ukaelewa? Huoni kama nilichoandika ndicho ulichoandika?Nani kakudanganya viwanja bei ndogo huko kiwanja kinauzwa bei ya mwanzo hiyo ndio ya chini milioni tatu na laki tano na hiyo ni pembezoni mwa mji nimetoka mwaka jana na nimeishi myaka kumi na tano
Pembezoni mwa mji mwanza nimenunua kiwanja milioni mbili ukiniambia milioni tatu laki tano ni bei ndogo nashindwa kukuelewa😂 Umenisoma ukaelewa? Huoni kama nilichoandika ndicho ulichoandika?
Au ulikuwa na haraka tu ya kukosoa.