Naomba anaejua anifundishe jinsi ya kuanza kuhubiri neno la Mungu

Habari wakuu
Kama kichwa kinavyosema hapo juu naomba msaada,pia kama Kuna group za Whatsapp naomba kuunganishwa.
Mkuu hata mimi leo nimefikiria kuna mwamba daily namuona mitaa ya ferrb na kibakuli cjake kimeja noti kinoumaa
 
Mungu akubariki katika kazi yako ya uhubiri,cha muhimu ulijuwe vizuri neno, kisha uanze kufanya mazoezi,either nyumbani au hata kanisani kwako...
 
Anza kujifunza kusema “ shakalabskara ooh pasokonakaoo ooh kusolokolololo”
 
Reactions: 511
Mungu akubariki katika kazi yako ya uhubiri,cha muhimu ulijuwe vizuri neno, kisha uanze kufanya mazoezi,either nyumbani au hata kanisani kwako...
Neno naanza vip kulijua??? Sina nachojua kwa sasa
 
Reactions: 511
Hicho ni kipaji kama viapaji vingine au njaa imezidi unatafuta gap
 
Tatizo la ajira ndio chanzo cha wahubiri wa mchongo,wanategeshea kula kupitia sadaka na kuuza mafuta,chumvi na vitambaa.
Tafuta kazi kijana hakuna kozi ya kujifunza kuibia waumini
 
Reactions: 511
Neno naanza vip kulijua??? Sina nachojua kwa sasa
Unaanzia hapa.

Kitabu cha mwanzo kinasema hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi.

Neno linaendelea kusisitiza kuwa huyu ni Mungu ambaye ni wa milele yani alikuwepo tangu na tangu.

Neno linaeleza kuwa kwa sasa huyu Mungu makazi yake yapo mbinguni.

Lakini neno halijatueleza ni wapi yalikuwa makazi ya Mungu kabla hajaumba mbingu, kwasababu neno limesema alikuwepo tangu na tangu.

Hapa hutakiwi kuvuka hii hatua bila kupata jibu sahihi ili kuepuka kupotosha waumini wako au wale ambao unakwahubiria.

Hili swali tutaliweka kiporo kwa wale ambao wanaonekana kulijua neno basi waanzie hapa kwanza kukupa mwangaza.
 
Reactions: 511
Habari wakuu

Kama kichwa kinavyosema hapo juu naomba msaada,pia kama Kuna group za Whatsapp naomba kuunganishwa.
Uko wapi?... tafuta kanisa la kiroho uwe unahudumu hapo, kuwa mvumilivu na uwe tayari kujifunza neno then watakupa muongozo wa namna ya kufanya but itakulia sana muda hii maana utatakiwa uwe unashinda kanisani kulingana na ratiba za ibada zitakavyo pangwa.
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…