C chingwanji. Member Joined Apr 22, 2015 Posts 12 Reaction score 13 Oct 14, 2023 Thread starter #21 FRESHMAN said: Manunuzi holela kwa nani? Ushawai sikia kampuni kubwa mfano vodacom ama tigo wanatafuta graduate wa procurement? Fani zingine wanaajiri kila mwaka, ila procurement huwezi kuta wanaajiri ajiri Click to expand... Ushawai sikia kampuni kubwa mfano vodacom ama tigo wanatafuta graduate wa procurement?......Sasa unazani wanatafuta nini? Kama sio graduate mbona qualification ni za Proc....acha kukatisha watu tamaaa
FRESHMAN said: Manunuzi holela kwa nani? Ushawai sikia kampuni kubwa mfano vodacom ama tigo wanatafuta graduate wa procurement? Fani zingine wanaajiri kila mwaka, ila procurement huwezi kuta wanaajiri ajiri Click to expand... Ushawai sikia kampuni kubwa mfano vodacom ama tigo wanatafuta graduate wa procurement?......Sasa unazani wanatafuta nini? Kama sio graduate mbona qualification ni za Proc....acha kukatisha watu tamaaa
C chingwanji. Member Joined Apr 22, 2015 Posts 12 Reaction score 13 Oct 14, 2023 Thread starter #22 Ndahani14 said: Haijatengwa sema tu nafasi zinazo toka ni chache, but nakushauri urudi chuo ukamalizie NTA LEVEL 6 Click to expand... Thanks mkuuu👍
Ndahani14 said: Haijatengwa sema tu nafasi zinazo toka ni chache, but nakushauri urudi chuo ukamalizie NTA LEVEL 6 Click to expand... Thanks mkuuu👍