Naomba anaejua kwanini Procurement imetengwa

Naomba anaejua kwanini Procurement imetengwa

Manunuzi holela kwa nani?

Ushawai sikia kampuni kubwa mfano vodacom ama tigo wanatafuta graduate wa procurement?

Fani zingine wanaajiri kila mwaka, ila procurement huwezi kuta wanaajiri ajiri
Ushawai sikia kampuni kubwa mfano vodacom ama tigo wanatafuta graduate wa procurement?......Sasa unazani wanatafuta nini? Kama sio graduate mbona qualification ni za Proc....acha kukatisha watu tamaaa
 
Back
Top Bottom