Naomba anayefahamu biashara ya Mbao anipe mchanganuo jinsi ya uendeshaji

Hakuna elimu ya bure
Mi naweza kukuelekeza hadi porini wanapokata miti kabisa ila mimi nitafaidika na nini sijui
Achana na hizi mbao zishawekwa njiani iringa to njombe hizo ni za madalali
 
D
aah Bora kitunguu sawaumu au maji mbao apanaπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜Ž
 
Hakuna elimu ya bure
Mi naweza kukuelekeza hadi porini wanapokata miti kabisa ila mimi nitafaidika na nini sijui
Achana na hizi mbao zishawekwa njiani iringa to njombe hizo ni za madalali
Duuh sawa
 
Aseee 🀣 🀣 πŸ™Œ atari sana kaka kumbe unaweza kufuta machozi sema kila biashara ukiingia kiboya unapigwa
Unatumia kweliii mkuu hasa wamama wengi wanahongwa sana
 
Ukisikia JAMA wanawasilian wapi cha juuu hapa unapigwa hivi

No 1.kule kwenye kushika wanashikanwao kwahiyo wakiweka HATAsek upati wanatajiana 23.6
Kumbe 27
Twende 28
Kumbe 31.7
HAPO MKUU mpaka umaliziwe mbaonzakoo weweeeqq YAAN UKISIKIA ya cmjuu wanakupiga fasta fasta kwenye kusoma
 
.......
 
Nipen dili la kuwakusanyia mbao mana ninazo nyingi sana sina la kupeleka njombe one

Hata ukitaka miti na kuuzia kuanzia Hekari 8 kwenda juu
 

Attachments

  • IMG_20250203_093135_795.jpg
    559.6 KB · Views: 1
Mkuu saa1 usiku ni pm nikutumie no za jamaa yangu anafanya kazi hiyo na ana heka 80 ambazo hajazikata bado amezinunua tu. Sharti akikubali kukuunganisha nae nitafanya hivyo nina uhakika atakupa ushirikiano jamaa hapendi uswahili hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…