Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aah Bora kitunguu sawaumu au maji mbao apana🙌🙌🙌😎Kuna mikoa ya Njombe, Iringa Mbeya huko nina experience nako. Faida wanapata sana, wanaonunua mti moja kwa moja kwa mkulima na kuprocess mbao kwa saizi tofauti tofauti na kusafirisha mbao mpaka yalipo masoko kama Zambia, Makambako n.k.
Faida
-Mkulima hajui uhalisia wa faida utakayoipata, kwa hio utanunua kwa bei ya chini mti wa mbao
-Uwepo wa nguvu-kazi ya kukufanyia kazi kama mafundi, wasogeza mbao na wasogeza magogo na wanalipwa ujira wa kawaida wenye faida kwako
Hasara zinazoweza kujitokeza
-Moto wa nyika ambao huweza kuunguza mbao au magogo
-Sura ya nchi isiyo rafiki mahali ilipo miti kama miteremko mikali
-Tabia ya nchi ya baridi kali hasa usiku.
-Miundombinu isiyo rafiki hasa wakati wa masika, Kuna maeneo hayaingiliki kabisa si chini ya miezi 7 masika
Unatumia kweliii mkuu hasa wamama wengi wanahongwa sanaAseee 🤣 🤣 🙌 atari sana kaka kumbe unaweza kufuta machozi sema kila biashara ukiingia kiboya unapigwa
.......Kuna mikoa ya Njombe, Iringa Mbeya huko nina experience nako. Faida wanapata sana, wanaonunua mti moja kwa moja kwa mkulima na kuprocess mbao kwa saizi tofauti tofauti na kusafirisha mbao mpaka yalipo masoko kama Zambia, Makambako n.k.