Huna sababu ya kuwa na simu! Muda wako bado unapoteza pesa tu kununua simuWadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshimdwa kuupata...
Maaamae vyuma vishaumana muda wowote cheche zitatoka!Acha michepuko!
wewe na yeye hamna tofauti!.. hizo siku za kupokea jumbe watu maalum wakipiga hupokei/hipatikani si umekosa deal!.nia na madhumuni, unaweza kuweka codes na wote wasikupate mpaka watu muhimu...binafsi zipo siku maalum huwa napatikana kwa sms tu, na pia zipo siku huwa namba yangu ukipiga inapokelewa na huduma kwa wateja kama Dstv, Tigo na hata Tanesko
Nawezaje kuitumia hii! Msaada tafadhari*35*0000#:closed
#35#0000# opening
Hii ni kwa mtandao gani.. Au mitandao yote inakubali..?imekubali kwenye namba moja..nyingine imegoma...
Shukrani mkuu..
Mitandao yote mkuu, kama una line 2, unafanya kwa kila line na kufungua pia utafungua line zote...Hii ni kwa mtandao gani.. Au mitandao yote inakubali..?
Nasubiri jibu hapaNawezaje kuitumia hii! Msaada tafadhari
Weka Process mkuu ili siku nyingine itusaidie na wengine.imekubali kwenye namba moja..nyingine imegoma...
Shukrani mkuu..