Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

nia na madhumuni, unaweza kuweka codes na wote wasikupate mpaka watu muhimu...binafsi zipo siku maalum huwa napatikana kwa sms tu, na pia zipo siku huwa namba yangu ukipiga inapokelewa na huduma kwa wateja kama Dstv, Tigo na hata Tanesko
Mmhhhh
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] baki njia kuu.
 
Ingia kwenye uwanja wa kuandika namba andika hizo namba ulizopewa na jamaa kama zikivyo then bonyeza kitufe cha kupiga
Kweli imekubari vp unlock ya *21*100#
Screenshot_2018-05-03-20-41-31.jpg
 
Back
Top Bottom