Hannover
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 443
- 574
Hautakuwa na uwezo wa kutumia internetNenda setting tafuta mahali palipoandikwa FLIGHT MODE weka on tayari hautapatikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hautakuwa na uwezo wa kutumia internetNenda setting tafuta mahali palipoandikwa FLIGHT MODE weka on tayari hautapatikana.
OK.. Nimekupata mkuuMitandao yote mkuu,kama una line 2,unafanya kwa kila line na kufungua pia utafungua line zote...
Wadau naombeni process nzima inavyokua.OK.. Nimekupata mkuu
Mmhhhhnia na madhumuni, unaweza kuweka codes na wote wasikupate mpaka watu muhimu...binafsi zipo siku maalum huwa napatikana kwa sms tu, na pia zipo siku huwa namba yangu ukipiga inapokelewa na huduma kwa wateja kama Dstv, Tigo na hata Tanesko
Unaiweka wapi hiiWeka *21*100# alafu chukua simu nyingine jaribu kujipigia,Then leta mrejesho mkuu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] baki njia kuu.nia na madhumuni, unaweza kuweka codes na wote wasikupate mpaka watu muhimu...binafsi zipo siku maalum huwa napatikana kwa sms tu, na pia zipo siku huwa namba yangu ukipiga inapokelewa na huduma kwa wateja kama Dstv, Tigo na hata Tanesko
Ingia kwenye uwanja wa kuandika namba andika hizo namba ulizopewa na jamaa kama zikivyo then bonyeza kitufe cha kupigaUnaiweka wapi hii
Naona imekubali kwenye smartphone pekee, kwenye vitochi imetosa. Nipo hapa nasubiri kusahihishwa.Weka *21*100# alafu chukua simu nyingine jaribu kujipigia,Then leta mrejesho mkuu
#35*0000# then OKnamna ya kudeactivate je?
Hiyo kwa simu zote mkuu, jaribu kutafuta simu nyingine ujipigieNaona imekubali kwenye smartphone pekee, kwenye vitochi imetosa. Nipo hapa nasubiri kusahihishwa.
Kweli imekubari vp unlock ya *21*100#Ingia kwenye uwanja wa kuandika namba andika hizo namba ulizopewa na jamaa kama zikivyo then bonyeza kitufe cha kupiga
Jaribu kujipigia then leta mrejesho mkuuKweli imekubari vp unlock ya *21*100# View attachment 764981
Naomba kuuliza;*35*0000#:closed
#35#0000# opening
Data unatumia kama kawaida,nikiwa na maana ya internet...Naomba kuuliza;
Vipi, ukishajiunga na data nayo naweza kutumia?
Au ndo nakua nmefunga na data.
Majibu tafadhar