Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

nia na madhumuni, unaweza kuweka codes na wote wasikupate mpaka watu muhimu...binafsi zipo siku maalum huwa napatikana kwa sms tu, na pia zipo siku huwa namba yangu ukipiga inapokelewa na huduma kwa wateja kama Dstv, Tigo na hata Tanesko
wewe na yeye hamna tofauti!.. hizo siku za kupokea jumbe watu maalum wakipiga hupokei/hipatikani si umekosa deal!.
 
Back
Top Bottom