Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshimdwa kuupata...
Si uweke tu AIRPLANE MODE??
 
KWA YA 3 ITAKUWAJE JE?!
 
Acheni ushamba nendeni praystore dld kitu kinaitwa truecaller ina kila kitu kama utaki mtu akupigie wala kukutumia msg
Truecaller pamoja na applications zinginezo zinazoweza kublacklist namba zina shida moja ni kwamba ukimwekea blacklist mtu, anapokupigia haambiwi kuwa haipatikani bali ataambiwa namba ya simu inatumika (user busy) na mbaya zaidi apps zingine zinaita na kuita kidogo halafu ndio inakata inasema user busy. Sasa kwa mtu mwenye akili anajua kabisa kuwa ameblacklistiwa
 

Iphone kuna option ya kuweza kuzima data ya whatsapp usionekane online wala usipate meseg yotote ile,hivo hivo kwa App zote zilizopo unazima mobile data kwenye hio hio App usio hitaji kutumia muda huo hadi pale utakapo hitaji ndio unawasha Mobile data yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…