Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshimdwa kuupata...
Njia ya kwanza
Nenda kwenye call setting
Kisha chagua barring/Barr call
Itakuletea option ya kubar chagua incoming calls
Kisha activate... Baadhi ya mitandao itahitaji password... Commonly used ni 0000, 1234, 000,123, 211,2121

Njia ya pili
Ingia call setting
Chagua divert option
Chagua all incoming calls
Kisha itakuomba no ya kudirvet
Utaandika namba halisi lakini huandiki yote
Yaani kwa mfano 0687 19202.. Namba moja ya mwisho huandiki kisha activate

Njia ya tatu ipo lakini siwezi kuiweka wazi hapa[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshimdwa kuupata...
Kuna app inaitwa Mr Number"itafute play store.itakufaa sana
 
Hizi code mnazotoa haziwez kutumika kublock namba moja moja, ili mtu achague namba ya kublock na kuruhusu???
 
Dawa ya Deni ni Kulipa. Kawalipe Kwanza wote wanaokudai Pesa zao kisha Mimi nitakupa hizo Code na utafurahia maisha.
Broo nipatie hizo code za kuweka kwenye simu isipatikane au itapendeza zaid ikiwa inapokelewa na mhudum wa huduma kwa wateja
 
Back
Top Bottom