Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Iphone kuna option ya kuweza kuzima data ya whatsapp usionekane online wala usipate meseg yotote ile,hivo hivo kwa App zote zilizopo unazima mobile data kwenye hio hio App usio hitaji kutumia muda huo hadi pale utakapo hitaji ndio unawasha Mobile data yake
Mbona hata simu za kawaida inawezekana
Unadisable app au kuforce stop
Au hujui ?
 
Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshimdwa kuupata...
Ku activate na Ku deactivate, ni neno lipo apo lilitakiwa litumike ?
 
Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshimdwa kuupata...
Lipeni madeni
 
Mbona hata simu za kawaida inawezekana
Unadisable app au kuforce stop
Au hujui ?

Mkuu naona hujaelewa hapo,uki disable App hio inafuta vitu vyote ktk hio App,pia hata uki enable hio App ikianza ku run inajianza upya,
Kingine zaidi,App za ku dissable ni zile zilizopo ndani ya simu ambazo ni INSTALLED
Lkn App utakayo download wewe haina OPTION ya DISABLE kuna option ya INSTALL,UNISTALL na FORCE to STOP

MKUU SIMU KUWA BEI MBAYA mfano IPHONE ni kutokana na FACILITIES zilizopo ndani ya hio simu,ndio maana IPHONE siku zoote ni Simu ya bei ya Juu,wengi wanadai kuwa Iphone ni ngumu ktk kuitumia,lkn mimi nalipinga hilo.Iphone sio complicated kivile katka matumizi,tatizo ni mtu mwenyewe hafahamu jinsi ya kuitumia na matumizi ya App zilizipo ktk hio IPHONE yenyewe

Unaweza ukaona mtu anatumia IPHONE lkn ni kupiga kutuma sms saaaana akijitahidi atachat whatsapp bas, vingine vyoote vilivyomo ndani ya hio IPHONE anayoitumia havifahamu wala havijui kuvitumia[emoji1321]
 
Kama disable app au force stop inafuta vitu vyote vilivyomo na clear data itafanya nini mkuu?
 
Clear Data unafuta vitu vilioji save ktk hio DATA utakayo clear.

Force to Stop si kanakwamba inafuta tu bali hio hio App itafanya kuCorrupt kwasababu unaiazimisha kuisimamisha hali ya kuwa ina Run

Mkuu jaribu kuforce to stop [emoji113] au ku disabble App ya PLAYSTORE
hapo ndio utajua maana yake

Yaani hio simu utaitupia kabatini tu ama utaenda kuiflash ili faili zake zoote zitakazo corrupt zijipange upya.

Sasa kwa Iphone haina option hio ya kuilazimisha App
Option iliopo ni,,,kwa mfano naenda setting kisha naitafuta App ya whatsapp na click hapo ikifunga nashuka chini kabisa kuna sehem imeandikwa Mobile data hapo hapo naweka mobile data off
Hio sehem inakuwa umezima data kwa ajili ya whatsapp tu App zingine kama vile JF,IMO na zinginezo zinafanya kazi kama kawaida
Lkn kwa samsung ama simu zingine ukizima data inamaanisha ni simu nzima haitakuwa na mawasiliano yoyote ya App zenye kutumia internet data
 
Back
Top Bottom