kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,113
- 8,610
Yah nilikuwa sijaiona hiyo code kablaGreat umetumia hii #35*0000#?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah nilikuwa sijaiona hiyo code kablaGreat umetumia hii #35*0000#?
Kutoa jeWeka *21*100# alafu chukua simu nyingine jaribu kujipigia,Then leta mrejesho mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kutokana na huu uzi nimepoteza uwezo wa kupokea sms (sms haziingii) . Msaada jamani.
manyi udoba Chiwaso na wengine.
Mbona hata simu za kawaida inawezekanaIphone kuna option ya kuweza kuzima data ya whatsapp usionekane online wala usipate meseg yotote ile,hivo hivo kwa App zote zilizopo unazima mobile data kwenye hio hio App usio hitaji kutumia muda huo hadi pale utakapo hitaji ndio unawasha Mobile data yake
Ku activate na Ku deactivate, ni neno lipo apo lilitakiwa litumike ?Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshimdwa kuupata...
Ngoja ntajaribu hihihii
Mkuu unawasiliana na frolah sana. Alafu unatumia HalotelJaribu kujipigia then leta mrejesho mkuu
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
HapanaUweke flight mode ili nisikupate au?
Lipeni madeniWadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshimdwa kuupata...
Mbona hata simu za kawaida inawezekana
Unadisable app au kuforce stop
Au hujui ?
kumbe ww ndo ulimpigia wife eehKweli imekubari vp unlock ya *21*100# View attachment 764981
Hyo namba ni ya nankwa voda *21*0754125125# hapa itakua hupatikani japo simu ipo on,lkn utapata sms kwa aliye kutafta
kutoa ##002#
Sisi wamikoani tunaipataje hyo playstoopraystore inapatikana na huku chattle au hukohuko mjini?
Kama disable app au force stop inafuta vitu vyote vilivyomo na clear data itafanya nini mkuu?Mkuu naona hujaelewa hapo,uki disable App hio inafuta vitu vyote ktk hio App,pia hata uki enable hio App ikianza ku run inajianza upya,
Kingine zaidi,App za ku dissable ni zile zilizopo ndani ya simu ambazo ni INSTALLED
Lkn App utakayo download wewe haina OPTION ya DISABLE kuna option ya INSTALL,UNISTALL na FORCE to STOP
MKUU SIMU KUWA BEI MBAYA mfano IPHONE ni kutokana na FACILITIES zilizopo ndani ya hio simu,ndio maana IPHONE siku zoote ni Simu ya bei ya Juu,wengi wanadai kuwa Iphone ni ngumu ktk kuitumia,lkn mimi nalipinga hilo.Iphone sio complicated kivile katka matumizi,tatizo ni mtu mwenyewe hafahamu jinsi ya kuitumia na matumizi ya App zilizipo ktk hio IPHONE yenyewe
Unaweza ukaona mtu anatumia IPHONE lkn ni kupiga kutuma sms saaaana akijitahidi atachat whatsapp bas, vingine vyoote vilivyomo ndani ya hio IPHONE anayoitumia havifahamu wala havijui kuvitumia[emoji1321]
Tumia IPHONE tu ndio kiboko ya kila kitu[emoji1321]
Kama disable app au force stop inafuta vitu vyote vilivyomo na clear data itafanya nini mkuu?