Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Weka flight mode
Miss natafuta ...huku si mahala pako..huku ni kwaajili ya sisi wenye akili nyingi tuu . ..ona ulicho coment akat amekwambia anaitaji kubaki ewani ila watu wasimpate...huoni kama flight mode ita muondoa kabisa hewani
 
Unawashwa wewe
 
msaada nikitaka kujiunga kwa namba yangu ya voda inaandika invalid MMI code
 
Njia ya kwanza
Nenda kwenye call setting
Kisha chagua barring/Barr call
Itakuletea option ya kubar chagua incoming calls
Kisha activate... Baadhi ya mitandao itahitaji password... Commonly used ni 0000, 1234, 000,123, 211,2121

Njia ya pili
Ingia call setting
Chagua divert option
Chagua all incoming calls
Kisha itakuomba no ya kudirvet
Utaandika namba halisi lakini huandiki yote
Yaani kwa mfano 0687 19202.. Namba moja ya mwisho huandiki kisha activate

Njia ya tatu ipo lakini siwezi kuiweka wazi hapa[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
v

Mshana

Bro mshana hujatupa bado njia ya kublock na icoming sms, hii hapa inablock calls tu
 
Back
Top Bottom