Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Wadau naomba mnisaidie namna namba yangu ya airtel isipatikane. Maana nimetumia njia zooote hapo juu inakataaa. Naombeni msaada wa haraka sana.
Piga 21+(namba 8 za simu yako bila kuanza na 0) kisha malizia na alama ya #. Hutopokea call zozote kwenye sim yako ila sms zitaingia na utakua na uwezo wa kutuma pia.
Mfano 21+78362309#.
 
Leteni codes zingine bas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
leteni za airtel tz wadau, nmewapigia wanasema hawana hiyo huduma
 
kwa voda *21*0754125125# hapa itakua hupatikani japo simu ipo on,lkn utapata sms kwa aliye kutafta
kutoa ##002#
Habari zenyu Waungwana sana Jamvini hapa....,
Ebana, hii code ya *21*0754125125# mi nimekuwa nikiitumia kwa muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 au 6 mpaka hivi sasa, na nimekuwa nikiifurahia sana...., ila sasa, of late, yan kwa hizi siku za karibuni imeanza kuwa inan'disappoint kidogo, kwa maana nakuwa sipokei tena zile "instant text message alerts" za watu waliojaribu kunipigia kama ambavyo ilikuwqga hapo mwanzoni, maana ilikuwa mtu akinchek tu hewani, Yani ye anaambiwa sipatikani hewani, na halafu na mimi sekunde hiyo hiyo napata sms alert, labda, say, "Mr. John tried to call you", and then mwenyewe ndo niamue sasa, kama nim'call back, au kama ni kimeo napotezea mzee!!
SASA INSHU HAPA, NI KWAMBA NAOMBA MSAADA WA KUJUZWA TENA HAYO MA 'UJANJA CLASSIC, au nskute ni Code zshabadilikaga nini, afu kumbe ni me mwenyewe tu ndo nmebakizwaga ki ree' huku ndichi?!!🤔

Natanguliza Shukrani!! 🙏
 
Habari wakuu mm simu yangu natumia mtandaobwa vodacom nikipigiwa wanasema namba imefungwa kwa muda ila mimi kupiga napiga msaada wakuu ili niwe hewani.
 
Us
Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshindwa kuupata...
Hataeri watu
 
Back
Top Bottom