Kingubwe
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 210
- 165
simu yangu upande wa setting hakuna hiyo optionNenda kwenye call divert.. Divert all voice calls kwenda 100.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
simu yangu upande wa setting hakuna hiyo optionNenda kwenye call divert.. Divert all voice calls kwenda 100.
Piga 21+(namba 8 za simu yako bila kuanza na 0) kisha malizia na alama ya #. Hutopokea call zozote kwenye sim yako ila sms zitaingia na utakua na uwezo wa kutuma pia.Wadau naomba mnisaidie namna namba yangu ya airtel isipatikane. Maana nimetumia njia zooote hapo juu inakataaa. Naombeni msaada wa haraka sana.
Lipa madeni ya watu acha kujificha ficha kwenye kublock mtandao.Anaejua code za ttcl nisipatikane hewani ila text zije anisaidie
kutoa hii vipPiga 21+(namba 8 za simu yako bila kuanza na 0) kisha malizia na alama ya #. Hutopokea call zozote kwenye sim yako ila sms zitaingia na utakua na uwezo wa kutuma pia.
Mfano 21+78362309#.
nia na madhumuni, unaweza kuweka codes na wote wasikupate mpaka watu muhimu...binafsi zipo siku maalum huwa napatikana kwa sms tu, na pia zipo siku huwa namba yangu ukipiga inapokelewa na huduma kwa wateja kama Dstv, Tigo na hata Tanesko
Sidhani na kama ipo basi ogopa Mungu&tek!nimeipenda
Nielekeze na mmwe ndo kiboko yao sasa aisee!
Code yenyewe ni flight modeWadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshindwa kuupata...
Habari zenyu Waungwana sana Jamvini hapa....,kwa voda *21*0754125125# hapa itakua hupatikani japo simu ipo on,lkn utapata sms kwa aliye kutafta
kutoa ##002#
Hataeri watuWadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshindwa kuupata...