Najua hii hali uliyofikia, shida ni kitu kibaya sanaNapitia changamoto kubwa mno. Naomba mwenye uwezo wa kukopesha, nitarejesha kidgo kidogo kwa 6 months . Kwa interest atakayosema yeye
Mkuu nimefika awasiliane NAMINgoja aje MR KWACHA akupatie muongozo! Huwa anasema anakopesha mpaka bilioni moja na ushee kwa dhamana ya kawaida kabisa.