PostGE2025 Naomba elimu kuhusu kesi iliyofunguliwa ICC dhidi ya Samia et al

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakuna kesi hapo....akiishawahakikishia uwekezaji mnono wanafunga mabakuli......huwa anafungwa masikini
 
20251126_131018.png
 
Imefunguliwa kesi na wanasheria wa ulaya, je wanasheria wetu au UMMA wa TANZANIA utahusikaje katika kuendesha kesi hiyo in terms of kutoa ushahidi
Wanasheria sio wenye kesi..

Kumbuka na uelewe maana ya neno "wakili"

"Wakili" ni mwanasheria anayesimama mbele ya Jaji, hakimu au mahakama kumwakilisha au kumtetea mteja wake "mtuhumiwa" au "mshitaki"

Wanasheria hawa (bila kujali wanatoka wapi) wanawakilisha wateja wao (walioshitaki). Na ktk scenario hii, it's obvious kuwa, washitaki au wateja wa mawakili hawa ni wananchi wa Tanzania...

Na Incase kama ulikuwa umepitiwa, zipo petition nyingi zimetembea na kusainiwa na wananchi.

Wakati wa mikutano ya kampeni ya CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION, kumbuka kuwa zilikuwa zinakusanywa saini za wananchi 1,000,000 ili kuzipeleka UN kupinga uchaguzi wa kihuni. Unajua zilifikia wapi?

Aidha, mara baada ya mauaji ya kimbari ya oktoba 29 - 5, petition ya saini zaidi ya 500,000 imesainiwa kutaka jumuiya za kimataifa kufanya uchunguzi wa mauaji na kuchukua hatua za kisheria kwa mujibu wa sheria za kimataifa...

Hawa ndio washitaki!!
 
Watanzania wa kawaida wataitwa kutia ushahidi.
Kama una ndugu amepata andaa impact statement. ICV hutoa nafasi za kutosha kwa victims.
Watu watalipa wa nauli na hotel la kwenda huko. UN ina pesa za kutosha
Noted
 
Wanasheria sio wenye kesi..

Kumbuka na uelewe maana ya neno "wakili"

"Wakili" ni mwanasheria anayesimama mbele ya Jaji, hakimu au mahakama kumwakilisha au kumtetea mteja wake "mtuhumiwa" au "mshitaki"

Wanasheria hawa (bila kujali wanatoka wapi) wanawakilisha wateja wao (walioshitaki). Na ktk scenario hii, it's obvious kuwa, washitaki au wateja wa mawakili hawa ni wananchi wa Tanzania...

Na Incase kama ulikuwa umepitiwa, zipo petition nyingi zimetembea na kusainiwa na wananchi.

Wakati wa mikutano ya kampeni ya CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION, kumbuka kuwa zilikuwa zinakusanywa saini za wananchi 1,000,000 ili kuzipeleka UN kupinga uchaguzi wa kihuni. Unajua zilifikia wapi?

Aidha, mara baada ya mauaji ya kimbari ya oktoba 29 - 5, petition ya saini zaidi ya 500,000 imesainiwa kutaka jumuiya za kimataifa kufanya uchunguzi wa mauaji na kuchukua hatua za kisheria kwa mujibu wa sheria za kimataifa...

Hawa ndio washitaki!!
Ila jf kuna vichwa aisee , nachoka mimi, vichwa vilivyo jamii forum ukimwondoa Mwingulu na machawa wa ccm ,vinaweza kuongoza serikali ya tz kwa miaka 3 bila tatizo lolote, ikiwa ni pamoja kulipa deni la taifa ndani ya mda husika
 
Utetezi wa Samia akiongozwa na wakili wa serikali huko ICC ndugu Nassoro Katuge utakuwa hivi ' Mbona hayati Benjamin Mkapa aliuwa watu wengi Zanzibar kwenye matukio kama haya ya uchaguzi na hakushtakiwa?
PO......
 
ICC ilikuwa haijaanza kipindi hicho
 
Back
Top Bottom