PostGE2025 Naomba elimu kuhusu kesi iliyofunguliwa ICC dhidi ya Samia et al

PostGE2025 Naomba elimu kuhusu kesi iliyofunguliwa ICC dhidi ya Samia et al

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
ukiwa na cheo cha president huezi kufika apo, yaani ni wewe tu utumie busara, Hata uhuru alitumia busara na alikua na uwezo wa kutokufika apo the same way ruto ameamua kutokufika apo

Vyombo vyote vya duniani vilitambua rais kufika the Hague

2014 07 October
Kenyan President Uhuru Kenyatta has arrived in The Hague

View: https://m.youtube.com/watch?v=xOPzhSFER9w

to attend his status conference at the International Criminal Court. Jack Parrock reports from The Hague.
Source : SABC News
 
Vyombo vyote vya duniani vilitambua rais kufika the Hague

2014 07 October
Kenyan President Uhuru Kenyatta has arrived in The Hague to attend his status conference at the International Criminal Court. Having suspended his position as president - meaning he will not be the first head of state to appear before the court. Jack Parrock reports from The Hague.
sasa si ndo nlichokua nakuelezea apo awali, akiwa nje ya cheo cha uraisi anaweza kwenda ila ndan ya uraisi hio haiwezekan
 
nje ya cheo cha uraisi
Unaweza kutoa elimu nini maana ya kuwa nje ya cheo cha urais na kufafanua tupate ufahamu.

Rais Kenyatta hakuachia mamlaka yake yote kama rais kwa kujiuzulu. Bali alikaimisha masuala fulani kwa Ruto na siyo kujiuzulu.
 
Unaweza kutoa elimu nini maana ya kuwa nje ya cheo cha urais na kufafanua tupate ufahamu.

Rais Kenyatta hakuachia mamlaka yake yote kama rais kwa kujiuzulu. Bali alikaimisha masuala fulani kwa Ruto na siyo kujiuzulu..
ok kabla sjakuelewesha labda nkuulize unajua kwann kunakuaga na vice president?
 
Tupe elimu kama uzi huu ulivyotaka tuelimishwe
ok vice president ni raisi alie standby, incase alie kwenye cheo amepata hitilafu basi yeye automatically anakua president, likewise magu alivofariki samia alistep in moja kwa moja, kwa lugha nyepesi yeye ni raisi wa kivuli

kuhusu uhuru, Unapokua president una authority kubwa zaidi ya ICC , sjasoma kila kitu kuhusu ICC lakini baadhi ya watu husema unaweza kuiamuru pia ICC kwan wao hufajya kazi nchini kupitia kukubaliwa na nchi kama mwanachama, ni kama UN wanavofanya kazi

kitu kinachofanya nchi zikubali kua wanachama wa ICC ni matakwa ya UN kwamba lazima uwepo kule lakini UN akiwa nchini kwako anakua kama shirika la kawaida, unaweza kuwatimua ukitaka ama kujitoa kama mwanachama mda wowote

kwa upande wa uhuru yeye kwenda kule kma president maaana yake ni kama wewe unaenda kushtakiwa na mfanyakazi wako wa ndan which haiwezekan hivo basi unaweka cheo chako pemben alafu unaenda kama mtu wa kawaida
 
Imefunguliwa kesi na wanasheria wa ulaya, je wanasheria wetu au UMMA wa TANZANIA utahusikaje katika kuendesha kesi hiyo in terms of kutoa ushahidi
Kilichofunguliwa ni kama maombi ya kutaka ICC ifanye uchunguzi kama inaona inaangukia kwenye ''anga'' zake za kazi na ifungue kesi.
 
🤣🤣🤣🤣
Suala sio la kitaifa tena ni suala linalo husu Mikataba ya umoja wa kimataifa na Mikataba hiyo Huwa inahitaji Ulindwaji wa haki za kibianaadmu ukifeli kulinda Hilo basi lazima uwajibishwe na mahakama za kimataifa anataka mahakama za Ndani ili apate mbeleko 🤣🤣🤣🤣

Hivi Huyu alikuwaje Raisi ??
 
Back
Top Bottom