ukiwa na cheo cha president huezi kufika apo, yaani ni wewe tu utumie busara, Hata uhuru alitumia busara na alikua na uwezo wa kutokufika apo the same way ruto ameamua kutokufika apo
sasa si ndo nlichokua nakuelezea apo awali, akiwa nje ya cheo cha uraisi anaweza kwenda ila ndan ya uraisi hio haiwezekanVyombo vyote vya duniani vilitambua rais kufika the Hague
2014 07 October
Kenyan President Uhuru Kenyatta has arrived in The Hague to attend his status conference at the International Criminal Court. Having suspended his position as president - meaning he will not be the first head of state to appear before the court. Jack Parrock reports from The Hague.
Unaweza kutoa elimu nini maana ya kuwa nje ya cheo cha urais na kufafanua tupate ufahamu.nje ya cheo cha uraisi
ok kabla sjakuelewesha labda nkuulize unajua kwann kunakuaga na vice president?Unaweza kutoa elimu nini maana ya kuwa nje ya cheo cha urais na kufafanua tupate ufahamu.
Rais Kenyatta hakuachia mamlaka yake yote kama rais kwa kujiuzulu. Bali alikaimisha masuala fulani kwa Ruto na siyo kujiuzulu..
ok kabla sjakuelewesha labda nkuulize unajua kwann kunakuaga na vice president?
ok vice president ni raisi alie standby, incase alie kwenye cheo amepata hitilafu basi yeye automatically anakua president, likewise magu alivofariki samia alistep in moja kwa moja, kwa lugha nyepesi yeye ni raisi wa kivuliTupe elimu kama uzi huu ulivyotaka tuelimishwe
Kilichofunguliwa ni kama maombi ya kutaka ICC ifanye uchunguzi kama inaona inaangukia kwenye ''anga'' zake za kazi na ifungue kesi.Imefunguliwa kesi na wanasheria wa ulaya, je wanasheria wetu au UMMA wa TANZANIA utahusikaje katika kuendesha kesi hiyo in terms of kutoa ushahidi
Kaongea wapi haya maneno?
ThubutuuuHakuna kesi hapo....akiishawahakikishia uwekezaji mnono wanafunga mabakuli......huwa anafungwa masikini
Unafuatilia taarifa?Mahakama gani? Nadhani ya Bangladesh, siyo ya nje
Suala sio la kitaifa tena ni suala linalo husu Mikataba ya umoja wa kimataifa na Mikataba hiyo Huwa inahitaji Ulindwaji wa haki za kibianaadmu ukifeli kulinda Hilo basi lazima uwajibishwe na mahakama za kimataifa anataka mahakama za Ndani ili apate mbeleko π€£π€£π€£π€£