maalimu swalehe shamte
Member
- May 27, 2024
- 7
- 1
Wakuu naomba nipewe Elimu kuhusu Soko la madaktari wa mifugo (BVM) Maana nataka kuapply hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bachelor of Veterinary Medicinekirefu cha bvm tafadhali
ndo hio ya sua sio? kasome tuBachelor of Veterinary Medicine
Yes, ndo hiyo ya SUA mkuu. Ni kozi DUME kweli kweli!ndo hio ya sua sio? kasome tu
Bachelor veterinary of medicinekirefu cha bvm tafadhali
Nakusudia Bachelor veterinary of medicine kiongoziSema andikaga sentesi kamili usiw unaandik nus nus kam hiv
Yeah ndo iyo ya Sua kiongozindo hio ya sua sio? kasome tu
Anatomy ya ng'ombe ,mbwa ,kuku nk🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yes, ndo hiyo ya SUA mkuu. Ni kozi DUME kweli kweli!
Kasome BVM lakini ujiandae kwa shule ya kufa mtu, maana niliishi hostel na chalii wa BVM mwaka 3 yeye akiwa wa pili pale mjini SUA, aisee alikuwa anakula shule hadi huruma ... lakin ni kozi nzuri ambayo ukitusua na ufaulu mzuri wanaweza kubakisha palepale chuoniWakuu naomba nipewe Elimu kuhusu Soko la madaktari wa mifugo (BVM) Maana nataka kuapply hiyo
Mpaka ubaki Sasa.Kasome BVM lakini ujiandae kwa shule ya kufa mtu, maana niliishi hostel na chalii wa BVM mwaka 3 yeye akiwa wa pili pale mjini SUA, aisee alikuwa anakula shule hadi huruma ... lakin ni kozi nzuri ambayo ukitusua na ufaulu mzuri wanaweza kubakisha palepale chuoni
Wengi wa vijana ukiwaambianhii kauli hawatakuelewa. Kasome kile unachokipenda wewe wala usijali, huku makazini professionals maboss wao huwa wala siyo experts wa profession ya idara husika.Kasomee kitu unachopenda usiangalie Soko ,Kila course Ina ajira