Naomba iwepo JF party kabla ya Septemba 30, 2024

Let's get started

Let's get started
Nafkiri tuwasiliane na uongozi... Iwe addressed kwenye official pages zao za Instagram, Facebook, WhatsApp na kwingineko na hii nafkiri tuipe jina rasmi la "Tanzanians On JF Bonanza"

This is gonna be huge that you think fam!

Manyama choma, mitungi, vioda, Fresh juice, mziki, bebeZ kama zote... Ni interaction na connection za maana live live, JF kuna watu tofauti... Hii itafungua hata milango kwa vijana kufahamiana.

Hakuna haja ya kupeana ID zetu, watu wakikutana ni Vibes tu!

Angalia T.O.T bonanza on Youtube utaelewa nini namaanisha mkuu!

Inatakiwa kuwa kama vile
 
Uongozi wa JF,

Tunaomba kabla ya Sept 30, 2024 tuwe na JF party sehemu tu ya kawaida tupeane mawaidha.

Kwa wale madada tutafurahi kuwaona badala ya kutiana moyo inbox.

Ahsante, nawasilisha.
Mlishapewa onyo
Msije mkarudi mkawa mnashindwa kuhadithia ya kwenye pati kama dimondi alipomtembelea pdidy waka paree
 
Twitter wapo serious sana, by the way watu hawaogopi kujulikana Kwa sababu ya serikali...wanaogopa kujulikana Kwa sababu ya wanayoyasema humu unaweza Kuta mtu kutwa kuikosoa IST lkn uhalisia anabambia/ anabambiwa kwenye mwendokasi
 
Naunga mkono hoja
 
Imetuliaa mkuu
 
Allah atupe uhaiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…