Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Njoo uone amekusema maneno magumu sana nimeshindwa kujizuiaNishafika si unajua uzi km huu bila uwepo wangu inakuwa km kachumbali iliyokosa ndimu 😹😹😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo uone amekusema maneno magumu sana nimeshindwa kujizuiaNishafika si unajua uzi km huu bila uwepo wangu inakuwa km kachumbali iliyokosa ndimu 😹😹😹
Huyo ana stress kakukosa kaangukia pua 😹😹😹Njoo uone amekusema maneno magumu sana nimeshindwa kujizuia
Rudi ulipokuwa aisee 😅Na unajitahidi na ule mshangazi wako chimdufu shapeless 😹😹😹
Ila nawaroga safari hii
Mambo gani sasa haya umefanya? Mrudishe alipokuwa😅😅Njoo uone amekusema maneno magumu sana nimeshindwa kujizuia
Pole sana 😅Huyo ana stress kakukosa kaangukia pua 😹😹😹
Kazama baharini kaibuka na pweza, jodari wamemkimbia
Mimi sijafanya ubaya nimemuita aje hapa kwenye party ya jf...Sema kweli una uhakika hutaki kumuonaMambo gani sasa haya umefanya? Mrudishe alipokuwa😅😅
Kasema anaenda mwanza huenda ataambulia hata vidagaa 😀Huyo ana stress kakukosa kaangukia pua 😹😹😹
Kazama baharini kaibuka na pweza, jodari wamemkimbia
Halafu njoo hapa naona Kuna mtu anakupa makopakopa ni shangazi mpya auPole sana 😅
😹😹😹 Analyse mambo vipi best?Rudi ulipokuwa aisee 😅
😂😂😂😂😂Andaa mwenyewe na uende mwenyewe
Na ujanja wako wote umeenda kubeba mvimbiano kweli??Pole sana 😅
Huyo anajua bila mimi kwako hatoboi 😹Mimi sijafanya ubaya nimemuita aje hapa kwenye party ya jf...Sema kweli una uhakika hutaki kumuona
😹😹😹 Huko atapata vibambaragaKasema anaenda mwanza huenda ataambulia hata vidagaa 😀
😹😹😹 bff una wivoHalafu njoo hapa naona Kuna mtu anakupa makopakopa ni shangazi mpya au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] etiii eeeh!!Si unaona sasa, mulemule 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah!!!Na unajitahidi na ule mshangazi wako chimdufu shapeless [emoji81][emoji81][emoji81]
Ila nawaroga safari hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umejificha wapi?? Au mshangazi umekufunika na minyama yake [emoji81][emoji81][emoji81]
Hatareee 😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah!!!