Naomba iwepo JF party kabla ya Septemba 30, 2024

Naomba iwepo JF party kabla ya Septemba 30, 2024

Viwanja vya TTCL na Postal grounds Kijitonyama viko poa sana! Ningependekeza waite wafanyabiashara mbalimbali waje kutangaza brands zao... Kuwe na vinywaji, Vyakula na njonjo zingine kibao! Kama vipi liandaliwe bonanza maalum la soka lipigwe pale na michezo mingine kama kikapu, mpira wa pete, Tennis na kadhalika, mapema asubuhi kabla ya yote kuwe na jogging kwa ajili ya kupiga vita magonjwa yasioambukiza.... Usiku upigwe mziki mpaka majogoo ikiwezekana na tuite kama wasanii wawili watatu hivi ambao tutaweza kuwamudu

Maxence Melo
Maximelo muache tueaeza fanya ufuska uwanjani tukaja kula ban huku
 
Back
Top Bottom