agreysapali
New Member
- Jan 14, 2014
- 3
- 1
Natafuta mayai ya kwale na Kanga na bei zake kwa trei tafadhali wana jamvi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uko wapi? Ya kware naweza kukupatia ila shariti kubwa ni kwamba ni lazima uje kuchukua Arusha mwenyewe, siwezi yatuma kamwe.
Kisa???
Natafuta mayai ya kwale na Kanga na bei zake kwa trei tafadhali wana jamvi
unataka kujua kisa? Je unakibali cha kufuga hao kware? au unazani wanafugwa tu? usha ona kanga wakiwa wamepakiwa kwenye matenga kupelekwa mjini kuuzwa kama kuku? unajua ni kwa nini?
Mkuu kufuga kware na hata kanga ni lazima uwe na kibali kwa sababu ukiambiwa umewakama polini utabisha?
Nimeku-pm
Yeye haja pm kuulizia ishu ya mayai. So weka hadharani details zote. Kuwa transparent.
Hamjambo marafiki wa kware!Mayai ninayo kwa bei ya shilingi 300 kila moja ila niko kenya.Nambari yangu ya simu ni +254726984981.Mayai haya ni freshi,yametagwa na kware wangu wenyewe na yako tayari kupelekwa kwa mashine ya kutotolea.
Hiyo ni shilingi 300 ya Kenya au ya Kitanzania!?
Huwezi safirisha mayai ya Kware kutoka Kenya had Tanzania, ya kuku yenyewe hairuhusiwi sembuse ya kware, kumbuka huku watu wanafuga tu bila permit tofauti na Kenya ambapo wana permit kutoka KWS, huku hata ku export haiwezekani.Hamjambo marafiki wa kware!Mayai ninayo kwa bei ya shilingi 300 kila moja ila niko kenya.Nambari yangu ya simu ni +254726984981.Mayai haya ni freshi,yametagwa na kware wangu wenyewe na yako tayari kupelekwa kwa mashine ya kutotolea.