Naomba kama kuna mwana jf anayejua mayai ya kwale na kanga yanapatikana wap hapa bogo na kwa bei ga

Naomba kama kuna mwana jf anayejua mayai ya kwale na kanga yanapatikana wap hapa bogo na kwa bei ga

Mkuu uko wapi? Ya kware naweza kukupatia ila shariti kubwa ni kwamba ni lazima uje kuchukua Arusha mwenyewe, siwezi yatuma kamwe.
 
unataka kujua kisa? Je unakibali cha kufuga hao kware? au unazani wanafugwa tu? usha ona kanga wakiwa wamepakiwa kwenye matenga kupelekwa mjini kuuzwa kama kuku? unajua ni kwa nini?

Mkuu kufuga kware na hata kanga ni lazima uwe na kibali kwa sababu ukiambiwa umewakama polini utabisha?
 
My point exactly. Umefanya vizuri kuelezea. Please in future jieleze kama hivyo tunufaike wengi.
 
Yeye haja pm kuulizia ishu ya mayai. So weka hadharani details zote. Kuwa transparent.

Mayai ya kKware yanapatikana .... tuwasiliane kwa private message tufanye biashara ... Bei 20,000 per tray .... location: dar es salaam

Welcome
 
Huku Arusha naweza kukufanyia mpango wa mayai ya kware wa Kijapani ambao ndo kware bora kabisa, make tambueni kware nao ni kama kuku si kwamba kware ni kware tu,Ila kwa sababu ya kibari ni bora mtu akaja kuchukua mwenyewe na njiani aweze kujitetea mwenyewe kwa sababu watu wa Mabasi haawezi kubali kusafirisha make inaweza kula kwao mazima.

Au ukiwa na ndugu yako unaweza muagiza akakuchukulia,
 
AINA ZA KWARE
Z

1. the Bobwhite,
9k=

2. the Chinese Painted

images

3. the Coturnix(Japanise Quails) The best one
2Q==

4. the Gambel's Quail
2Q==

5. the Mountain Quail.
images

6. Button Quail

No 4 na No 5 hazipatikani huku, Ila zingine hizo ni available.

Kware wa China na Japan ni maarufu kwa sababu Japani ndo the leading katika ufugaji wa Kware Duniani akifuatiwa na China, na wamekuwa wana export other part. na that is why in China hata ukinunua incubator zao ni lazima ziwe na sehemu ya kware tofauti na mashine nza ulaya
 
Kama bado haujapata mkuu,nicheck inbox!nitakupatia kwa reasonable price na kama utahitaji mengi zaidi basi bei itapungua zaidi
 
Hamjambo marafiki wa kware!Mayai ninayo kwa bei ya shilingi 300 kila moja ila niko kenya.Nambari yangu ya simu ni +254726984981.Mayai haya ni freshi,yametagwa na kware wangu wenyewe na yako tayari kupelekwa kwa mashine ya kutotolea.
 
Hiyo ni shilingi 300 ya Kenya au ya Kitanzania!?
 
Hamjambo marafiki wa kware!Mayai ninayo kwa bei ya shilingi 300 kila moja ila niko kenya.Nambari yangu ya simu ni +254726984981.Mayai haya ni freshi,yametagwa na kware wangu wenyewe na yako tayari kupelekwa kwa mashine ya kutotolea.
Huwezi safirisha mayai ya Kware kutoka Kenya had Tanzania, ya kuku yenyewe hairuhusiwi sembuse ya kware, kumbuka huku watu wanafuga tu bila permit tofauti na Kenya ambapo wana permit kutoka KWS, huku hata ku export haiwezekani.
 
Mkuu..Asante kwa kuchangia maoni wako.Ni jambo la kusitisha eti serikali ya Tanzania haitaki tufanye biashara.Hii ni fursa njema sana yako wewe tutengeneza mamilioni ya pesa.Usiogope Taratibu za serikali.Mimi mwenyewe nilianza ufugaji wa kware bila cheti kutoka kws.Kuna watu wengi wanoufuga bila hizo permit maanake kule kws kuna idadi kubwa sana wa watu wanaotaka hizo permit.unakawia sana kabla uipate.Kama uko roho juu,tunaweza kushirikiana tufuge hawa ndege pamoja.Tatizo letu hapa,mwezi wa januari na februari huwa mbaya kufanya biashara.hii ni fursa nzuri ya kuleta mayai yangu huko tufanye biashara.Hata mashine ya kutotolea nina ujuzi wa kuunda.

Frank
 
Back
Top Bottom