Naomba kazi au connection na kazi

Naomba kazi au connection na kazi

Msaga_sumu

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
289
Reaction score
291
Habarini wakuu, Naitwa Richard Mashauri
Nimesoma degree ya uhasibu na teknolojia, nimejitahidi pambana kitaa na kazi mbalimbali ikiwemo ufreelancer azam pesa pamoja na kusupply mitungi ya gesi ila imetokea changamoto kwa sasa kwenye kazi yangu ya kusupply gas za kupikia, kama kuna mtu anaconnection na kazi halali basi naomba nionganishe nafanya kazi zote za taaluma yangu (uhasibu) pamoja na za kutumia nguvu. Ntashukuru sana.

Napatikana Temeke Dar
Namba za simu 0764292986
 
Changamoto wengi wenye bachelor ya Accounting hamna CPA ila kuna mahali ungekuwa na CPA ingekuwa poa sana. Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom