Naomba kazi au connection za kazi

Naomba kazi au connection za kazi

Jackson QUECA

Senior Member
Joined
Oct 6, 2024
Posts
105
Reaction score
150
Wakuu habari za majukumu ya hapa na pale.Naomba kama Kuna mwenye kazi au connection za kazi,mahali popote professional nimesoma ualimu,“Diploma for secondary education ”masomo ya phizikia,pamoja biologia.Pia ambazo siyo professional Kama
—⟩Ufugaji wa kuku aina ya broiler.
—⟩kilimo Cha bustani.
—⟩biashara kama uwakala wa mitandao ya simu, duka la domestic services, biashara ya duka spear za pikipiki, nyingi nimefanya kazi na experience nazo,nafanya kwa moyo mmoja na kama kwakujitolea walau kwa malipo ya kujikimu.Nipo dar es salaam.0613252674, email Jacksonsambuo2@gmail.com.
Kwaupande wadhamini wapo
 
Inaonekana una experience ya kutosha kwa kazi mbalimbali,kwa Nini uliziacha?
Na kwa Nini unataka kuzifanya Tena?
 
Kwani ile habari ya utapeli imeishia wapi?
Sijajua

Nadhani kuliweka hili sawa watu wengi humu hasa graduates wanahitaji kazi yoyote lakini

Naona nyaraka kama zifuatazo zinakuwa utambulisho na muhusika akikimbia ni rahisi kujua unaanzia wapi ?

👉 Barua ya utambulisho anapotokea muhusika

👉Cheti Cha darasa la saba ama leaving certificate yake!

👉Namba ya NIDA ama kitambulisho ni rahisi kujua anatokea wapi

👉Barua za wadhamini na wapigiwe simu kutoa taarifa za muhusika zikiambatana na passport size za wadhamini

👉 Passport size ya muombaji wa maombi ya kazi

Kosa la mtu mmoja lisiwafungie wengine milango ya riziki!!
 
Hata mkipewa mnachagua chagua sana na kazi huwa hamjui kufanya nyie watoto wa humu JF. Kwakifupi watu wanajuta kuwapa kazi wala connection. Mmoja ametoka kutapeliwa na nyie vijana
Hmn mkuu siyowote wenye tabia kama hiyo nawadhamini pia
 
Yeah Asante kwa ufafanuzi 🙏
 
Hata mkipewa mnachagua chagua sana na kazi huwa hamjui kufanya nyie watoto wa humu JF. Kwakifupi watu wanajuta kuwapa kazi wala connection. Mmoja ametoka kutapeliwa na nyie vijana
Kwanini utumie mifano ya wengine wakati ww mwenyewe Hauwezi kumsaidia Mtu,tujikite katika kujenga sio kinooma kama uwezo WA kumsaidia upo saidia kama haupo pita hivi
 
Back
Top Bottom