Habari za wakati wakubwa kwa wadogo! Ni Furaha yangu kuwa hapa kwa muda na wakati kama huu kwa leo la kuwaomba kazi au mchongo wowote utakaonisaidia.
Mimi ni kijana wa miaka 27 na nipo Dar es salaam kwa sasa, Nina skills zifuatazo:
1. Ni Mwalimu wa mathematics na chemistry kwa Taaluma
2. Ni skills za computer ( Excell, Ms word,pppt....)
3. Naweza kufanya sales kwa uzuri na kwa uaminifu.
4. Naweza kufanya marekebisho ya simu haya kwa upande wa software na hardware kwa kiasi
5. Naweza kufanya kazi yeyote halali kwa maelekezo ya mwaajiri.
Nipo hapa kuomba connection hiyo na kubwa zaidi kama Kuna mtu yeyote mwenye mtaji na yupo interested kufungua ofisi kwa ajili masuala ya ufundi simu, kuuza accessories za simu, na electronics nyingine pamoja na kuuza video na music, basi nipo tayari kuajiriwa katika ofisi hiyo na nifanye kazi kwa ustadi na uaminifu.
Mawasiliano yangu ni 0622311139