Napo ni mtaji bossKilimo umejaribu mkuu?
Hapana boss, kaka KunaShule za private umejaribu mkuu
Hapana boss kama Kuna sehemu nipe connectionShule za private umejaribu mkuu
Kuwa winga manHabari za wakati wakubwa kwa wadogo! Ni Furaha yangu kuwa hapa kwa muda na wakati kama huu kwa leo la kuwaomba kazi au mchongo wowote utakaonisaidia.
Mimi ni kijana wa miaka 27 na nipo Dar es salaam kwa sasa, Nina skills zifuatazo:
1. Ni Mwalimu wa mathematics na chemistry kwa Taaluma
2. Ni skills za computer ( Excell, Ms word,pppt....)
3. Naweza kufanya sales kwa uzuri na kwa uaminifu.
4. Naweza kufanya marekebisho ya simu haya kwa upande wa software na hardware kwa kiasi
5. Naweza kufanya kazi yeyote halali kwa maelekezo ya mwaajiri.
Nipo hapa kuomba connection hiyo na kubwa zaidi kama Kuna mtu yeyote mwenye mtaji na yupo interested kufungua ofisi kwa ajili masuala ya ufundi simu, kuuza accessories za simu, na electronics nyingine pamoja na kuuza video na music, basi nipo tayari kuajiriwa katika ofisi hiyo na nifanye kazi kwa ustadi na uaminifu.
Mawasiliano yangu ni 0622311139
Kama hauna Msaada tuliza komwe boss...Ufundi simu nao ni wa kupewa connection au mwalim una mentality ya kuajiriwa tu
Hii imekaajeKuwa winga man
Kheeeeeee!Kama hauna Msaada tuliza komwe boss...
Hii imekaaje
Kama unajua namna ya kutumia AI , movie clip au recap ndio biashara ya kufanya kwa sasa kama huna haraka ya pesa, ila kama una haraka ya pesa uza simulizi za kijasusi kwa kupost vipande insta na facebook ukiwavuta wasomaji whastapp ili uje kuwauzia full PDF...Wakuu naombeni maoni, biashara niliokua nimeeinza Sina uzoefu nayo vizuri. Hivyo nimeamua kurudi kwenye biashara ambayo nilishawahi kuifanya ila Sasa nataka niifanyie online kupitia whatsapp. Hivyo wakuu naombeni ushuhuda mliowahi kufanya biashara za bidhaa za kidigital mfano movie, mikeka kupitia WhatsApp naombeni ABC
😂Kama hauna Msaada tuliza komwe boss...
Jobless mkali huyooKheeeeeee!
Jobless mkali huyoo
Yaan nilikua najiandaa kutoa mchongo ghafla naona mtu katulizwa komwe🤣🤣Jobless mkali huyoo
Na alituliza kweli! Ukute naye ana mchongo pia😂Yaan nilikua najiandaa kutoa mchongo ghafla naona mtu katulizwa komwe🤣🤣
Ndiyo ethics ya ualimu siyo ??Kama hauna Msaada tuliza komwe boss...