NAOMBA KAZI YA UTINGO WA MAGARI MAKUBWA

NAOMBA KAZI YA UTINGO WA MAGARI MAKUBWA

FRJ255

Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
23
Reaction score
21
Naomba unisaidie kushare Kwa Wadau wa usafirishaji na madereva. Mimi naomba kutembea na mtu kwenye gari hasa magari makubwa ili nipate uzoefu barabarani Nina lessen daraja D. Naishi Kiluvya-Pwani. Nipo tayari kujituma na kufanya kazi atakazo. Mawasiliano yangu
Email. [email protected]
 
Usiweke namba mkuu email Yako inatosha Tanzania sio nchi ya amani kwa sasa
 
Back
Top Bottom