The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Kwan messi ana mwili nyumba? De bruyne?Jamaa angekua na mwili nyumba maskauti wa timu za ulaya ambao wapo afcon kusaka vipaji lazima wangeondoka na jina lake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan messi ana mwili nyumba? De bruyne?Jamaa angekua na mwili nyumba maskauti wa timu za ulaya ambao wapo afcon kusaka vipaji lazima wangeondoka na jina lake.
Upo sahihi kabisa maendeleo hayana timu .Laiti Wachezaji wote wa Taifa Stars iliyoyaaga Usiku huu Mashindano ya AFCON huko nchini Ivory Coast wangekuwa na Spirit ya Beki Ibrahim Bska nina uhakika Tanzania tusingetolewa mapema hivi.
Kwangu Mimi huyu Beki Ibrahim Baka ndiyo ambaye Watanzania tunatakiwa tumpokee kwa Heshima zote wakirejea kwani ndiyo ameonyesha kweli kuwa amekamilika Kiuzalendo na alienda kweli kuipambania Bendera ya Taifa huko Mashindanoni.
Yanga SC najua nyie ni Watani zangu nikiwa kama mwana Simba SC tukuka Ila hongereni kwa kumuoa huyu Mchezaji tokea akiwa Kwao Kisiwani Zanzibar, Kumlea na Kumtengeneza kupitia Makocha wenu mahiri na hakika Beki Ibrahim Bska ataendelea kuwa Alama bora ya Uzalendo na Upambaji wa Taifa katika Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) na GENTAMYCINE mapendekezo kama si sasa basi baadae apewe rasmi Usinga / Unahodha wa Kikosi cha Taifa Stara na Kitamfaa sana na atakitendea Haki kuliko Mafaza na Mabrazameni wengi walioko Kukosini Taifa Stars.
Hongera beki mahiri Ibrahim Baka.
Daah Shadrack Nsajigwa Fuso sijui yuko wapi saivi. Mara ya mwisho nilimuona bench la timu ya Taifa Stars pamoja na Nadir Haroub mwenyewe. Sijui wako wapi hawa jamaaAcha usinikumbushe Cannavaro, binafsi yule ndio mchezaji wangu bora wa muda wote Yanga.
Sijawahi kumuona mchezaji aliyeipenda Yanga kama yeye! Akifuatiwa na Nsajigwa.
Lisandro Martinez (Manchester United), Julien Timber (Arsenal), Jules Kounde (Barcelona) na Nathan Ake (Manchester City) hawa wote ni beki wa kati wanaocheza ktk ligi ngumu kwa level ya juu sana na wana vimo vifupi sana chini ya mita 1.8 yaani 5' 11''.Jamaa angekua na mwili nyumba maskauti wa timu za ulaya ambao wapo afcon kusaka vipaji lazima wangeondoka na jina lake.
Bacca yupo kwenye umri mzuri tu na ulaya sio lazima aende epl, laliga au bundersliga kuna ligi kama belgium, turkey anaweza akacheza.Tatizo umri Vincent Abubakar vilabu kibao ulaya vilikuwa vinamtaka ila umri umeenda watu wanakupima kwenye scanner hutoboi umri wa kwenye vyeti washaona wachezaji wanadanganya.
Abubakar mbona alikua ulaya kitambo tu si kacheza porto uyo kabla ya kwenda uarabuniTatizo umri Vincent Abubakar vilabu kibao ulaya vilikuwa vinamtaka ila umri umeenda watu wanakupima kwenye scanner hutoboi umri wa kwenye vyeti washaona wachezaji wanadanganya.
Hao sio mabeki wa kati. Sasa messi umpange namba 5 alikabe jitu kama halaand kweli.?Kwan messi ana mwili nyumba? De bruyne?
Sifa za beki wa kati ya kwanza kabisa uwe mrefu. Ivyo vimo vya wakina canavaro yule wa itary, bucha wa man u n.k aisee technicaly uwe bora sana. Futi 5 kulikaba jitu kama zlatan ibrahimovic sio mchezo.Lisandro Martinez (Manchester United), Julien Timber (Arsenal), Jules Kounde (Barcelona) na Nathan Ake (Manchester City) hawa wote ni beki wa kati wanaocheza ktk ligi ngumu kwa level ya juu sana na wana vimo vifupi sana chini ya mita 1.8 yaani 5' 11''.
Nafikiri tatizo la wachezaji wetu hawana football agencies nzuri ambazo zipo well connected na vilabu vya ulaya, kwa uwezo wa baadhi ya wachezaji ukiondoa kasoro pekee ya kutopitia ktk mfumo mzuri wa shule za mpira ila hawakupaswa kuwepo hapa Afrika. Kuna wachezaji wazuri sana ligi za Africa kuliko hata wachezaji walioko ligi za Ulaya kutoka Afrika.
Hakika huyu jamaa ni mpambanaji sana, niliwahi kusikia mwamba ni mjeda! kama kweli huyu jamaa ni mzalendo haswa!Laiti Wachezaji wote wa Taifa Stars iliyoyaaga Usiku huu Mashindano ya AFCON huko nchini Ivory Coast wangekuwa na Spirit ya Beki Ibrahim Bska nina uhakika Tanzania tusingetolewa mapema hivi.
Kwangu Mimi huyu Beki Ibrahim Baka ndiyo ambaye Watanzania tunatakiwa tumpokee kwa Heshima zote wakirejea kwani ndiyo ameonyesha kweli kuwa amekamilika Kiuzalendo na alienda kweli kuipambania Bendera ya Taifa huko Mashindanoni.
Yanga SC najua nyie ni Watani zangu nikiwa kama mwana Simba SC tukuka Ila hongereni kwa kumuoa huyu Mchezaji tokea akiwa Kwao Kisiwani Zanzibar, Kumlea na Kumtengeneza kupitia Makocha wenu mahiri na hakika Beki Ibrahim Bska ataendelea kuwa Alama bora ya Uzalendo na Upambaji wa Taifa katika Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) na GENTAMYCINE mapendekezo kama si sasa basi baadae apewe rasmi Usinga / Unahodha wa Kikosi cha Taifa Stara na Kitamfaa sana na atakitendea Haki kuliko Mafaza na Mabrazameni wengi walioko Kukosini Taifa Stars.
Hongera beki mahiri Ibrahim Baka.
Kocha msaidizi NamungoDaah Shadrack Nsajigwa Fuso sijui yuko wapi saivi. Mara ya mwisho nilimuona bench la timu ya Taifa Stars pamoja na Nadir Haroub mwenyewe. Sijui wako wapi hawa jamaa
Ukimaanisha kuwa GENTAMYCINE niliyefungiwa Jukwaa la Michezo hapa JamiiForums ni Mbwa na kwamba nimefunguliwa.Fungulia mbwa
Pamoja na pongezi zako zote Kwake ila nasikitika tu kuwa hujafahamu / hujui kuwa Nadir Haroub Cannavaro ni mwana Simba SC lia lia wa Moyoni, kama ambavyo Watu wengi pia hawajui kuwa aliyewahi kuwa Nahodha mwenye Mafanikio na Simba SC Suleiman Matola ( sasa ni Kocha ) ni mwana Yanga SC kindakindaki sema tu Wote hawa Fedha za Yanga na Simba ziliwafanya wawe Wanafiki wa Kiushabiki kwa muda.Acha usinikumbushe Cannavaro, binafsi yule ndio mchezaji wangu bora wa muda wote Yanga.
Sijawahi kumuona mchezaji aliyeipenda Yanga kama yeye! Akifuatiwa na Nsajigwa.
Tuchukiane ila tusifikie kuitana Takataka.Samatta ni taka taka, hamna kitu kabisa
Kwani akifanya hivyo kuna tatizo lolote?mwenzio anatafuta soko aende ulaya huko we unasema uzalendo
Inshaallah....!!Bacca yupo kwenye umri mzuri tu na ulaya sio lazima aende epl, laliga au bundersliga kuna ligi kama belgium, turkey anaweza akacheza.
Umri unapimwaje na scanner?Tatizo umri Vincent Abubakar vilabu kibao ulaya vilikuwa vinamtaka ila umri umeenda watu wanakupima kwenye scanner hutoboi umri wa kwenye vyeti washaona wachezaji wanadanganya.
Regardless!Pamoja na pongezi zako zote Kwake ila nasikitika tu kuwa hujafahamu / hujui kuwa Nadir Haroub Cannavaro ni mwana Simba SC lia lia wa Moyoni, kama ambavyo Watu wengi pia hawajui kuwa aliyewahi kuwa Nahodha mwenye Mafanikio na Simba SC Suleiman Matola ( sasa ni Kocha ) ni mwana Yanga SC kindakindaki sema tu Wote hawa Fedha za Yanga na Simba ziliwafanya wawe Wanafiki wa Kiushabiki kwa muda.
Na bahati nzuri wote hawa ni Marafiki zangu wakubwa tokea wakiwa Wachezaji na hata sasa tunakutana maeneo mbalimbali.
Umri ndio chanzo lakini Enzi zake alikuwa mpambanaji ila pamoja na umri lakini anapambqnaVipi kuhusu Tshabalala