Naomba Kikosi kijacho cha Taifa Stars kiteuliwe kwa Kuangalia Uzalendo, Uchungu na Upambaji wa Beki Ibrahim Baka

Wazanzibar hucheza kwa passion na uzalendo kuliko bara.

Himid Mao
Nadir Haroub
Aggreiy Morris
 
Bacca yupo kwenye umri mzuri tu na ulaya sio lazima aende epl, laliga au bundersliga kuna ligi kama belgium, turkey anaweza akacheza.
Hizo ligi zingine ulizotaja ukiondoa Laliga ndiyo nchi zenye watu wana maumbo makubwa kuliko Uingereza

Bacca anaweza kucheza ligi yoyote tatizo hana agent tu.

Lakini technically ana tuck maboksi yote.

Pale Yanga Dickson Job pamoja na ufupi wake lakini ndiyo huwa anaongoza misimu yote kwa aerial duels
 
Na ndio awe Captain,huyo mpuuzi Samantha msimuite tena Taifa Stars
 
Nteze John, Hussein Marsha Yanga lia lia na Edibilly Lunyamila Simba. Watu wanabadilika kama dini tu hamna jipya, kabila ndo halibadiliki.
 
Ona zarau kama hizi:
 
Bacca ni beki mzuri si mahiri.
 
Wanaweza wakawa na maumbo makubwa lakini ukawazidi mbinu. Epl, laliga, bundersliga, serie a ni ligi za daraja la juu sana pale wanakutana wale finest talents udhaifu wako mmoja tu watu watautumia ipasavyo.
 
Mbona Kim Min Jae ni mfupi na anakichafua au Leonardo Bonnuci
Mkuu sio kwamba ukiwa na umbo la kawaidia huwezi kumudu ni kwamba technicaly inabidi uwe miles ahead ya waliokuzidi umbo. Bacca angekua tall na ile fighting spirit yake wakubwa wa ulaya wangemdaka uko uko ivory coast.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…