GE2025 Naomba kipindi hiki cha kampeni TBC muwe mnatuwekea hotuba za Magufuli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Ndugu zangu CCM kipindi hiki cha kampeni ili tuwezi kushinda kwa kishindo basi tuombe tuwe tunawekewe hotuba za Magufuli ikiwezekana kwenye redio zote za Tanzania hizi hotuba ziendane kama tunavyomsifia Mama ili tuwapiga wapinzani kweli kweli
 
Ndugu zangu CCM kipindi hiki cha kampeni ili tuwezi kushinda kwa kishindo basi tuombe tuwe tunawekewe hotuba za Magufuri ikiwezekana kwenye redio zote za Tanzania hizi hotuba ziendane kama tunavyomsifia Mama ili tuwapiga wapinzani kweli kweli
Hiki ni kipindi ambacho hotuba za Nyerere na Magufuli hawataki zisikike kabisa, zinawachoma.
 
Lucas Mwamshamba uko wapi rafiki yangu,tunaomba hotuba za Magufuri kwenye mikutano ya mama
 
Unagombea na vyama rafiki ie UPDP,UDP,NLD na CHAUMWA halafu bado unaomba backups?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…